Kazi ya kuwa Mod JF

Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,416
12,600
Mimi ni kijana Mtanzania na ni memba wa JF kwa takriban miezi 18, kazi ya kuwa moderator nimetokea kuipenda sana. Yeyote mwenye kujua jinsi gani naweza apply au nitajuaje kama iko vacant anipe jibu.

Na ikitokea nikaipata hii kazi basi watu watafurahi sana kwa sababu nitafanya mabadiliko ya kweli, naombeni mnielekeze chochote nachoweza kufanya ili niipate hii kazi.

Vipi ina mshahara? Isije nikawa nashindwa kula! Kisa nafanya kazi ya Mod-JF.
 
Kwani wewe huoni matangazo ya biashara humu ndani?...
 
nadhani na ya kujitolea na ni kazi ngumu sana..... nakushauri usiombe ....
 
Ya nini kuomba ridhaa? ni-PM nikupe password ya invisible..sisi ndio mahacker wakubwa hapa town.
Nimesha-hack account za vinega huko FB mpaka nimechoka.
 
Duh, Mkuu unahatari sana yaani unamwaga mchele ktk kuku wengi hivi.
 
Invisible ile avatar yake inanifanya niogope kazi ya U-Mod, iko kama vile anaona gizani!!
 
Mimi ni kijana Mtanzania na ni memba wa JF kwa takriban miezi 18, kazi ya kuwa moderator nimetokea kuipenda sana. Yeyote mwenye kujua jinsi gani naweza apply au nitajuaje kama iko vacant anipe jibu.

Na ikitokea nikaipata hii kazi basi watu watafurahi sana kwa sababu nitafanya mabadiliko ya kweli, naombeni mnielekeze chochote nachoweza kufanya ili niipate hii kazi.

Vipi ina mshahara? Isije nikawa nashindwa kula! Kisa nafanya kazi ya Mod-JF.
aaaaaah aaaah unataka JF wakulishe?
 
Profile yako si mbaya japo inaonyesha mapungufu kadha!
Kwa mfano juzi ulianzisha thread HII-HAPA ambapo ikaonekana huna uhakika sana na mambo unayoleta majamvini!

Jitahidi kuwa makini..U-Mod ni kazi ya watu makini kabisa!
 
Ile ilikuwa tetesi na kuna clause niliweka "Chanzo sio cha kuaminika sana ...", na kumbu kumbu zangu zinaniambia kuwa niliiweka kwenye habari mchanganyiko, nilishangaa baadaye kuikuta kwenye jukwaa la siasa.

Lakini kitu nilichugundua ni kwamba JF iko affected na habari za juu juu, ni hii ni kwa sababu kila mtu anataka kuwa wa kwanza kujua kiasi kwamba watu hawaangalii hata authenticity ya source.

Naiomba JF samahani kwa yeyote atakayekuwa alikwazika na ile tetesi/habari kwa namna yoyote ile.
 
Back
Top Bottom