Hata Kutokuwa Na Off Nayo Ni Kazi,,Shida Sasa Kazi Ya Off Haina Mtonyoo...ila hizi kazi, hapo ukute hata off hamna
Inaweza isiwe shida, km nje ya mshahara kuna posho kdg ya kufidia.ila hizi kazi, hapo ukute hata off hamna
Masai kapandisha Mori kimjini.Wabongo hawataki kazi wanataka Mshahara.Wabona, alafu ajira ili kipatikana tena mnadai posho nje ya mshahara. Na uweledi hamna🚮
Masaa 45 kwa wiki, wahindi na wachina wanayajua hayo kweli..Kwa sheria za ajira Tanzania mtu anatakiwa kufanya kazi masaa yasiyozidi 45 kwa wiki, watakuja watu sababu wana shida ya ajira vinginevyo huo mshahara ni mdogo sana kwani unamzuia hata kufanya majukumu yake ya kijamii.
wengi wanaogopa kudai haki zao ila mkataba ukiisha nenda na ushahidi wako mahakama ya kazi utalipwa zaidi ya hapo unatakiwa ulipwe overtimeMasaa 45 kwa wiki, wahindi na wachina wanayajua hayo kweli..
Ayafanye majukumu yake ya kijamiii sasa hivi akiwa hana kazi ayafanye 24 hrs hamna wakumzuia wala kumpangia...Kwa sheria za ajira Tanzania mtu anatakiwa kufanya kazi masaa yasiyozidi 45 kwa wiki, watakuja watu sababu wana shida ya ajira vinginevyo huo mshahara ni mdogo sana kwani unamzuia hata kufanya majukumu yake ya kijamii.
Na huo mshahara kula ni juu yako na kodi ya geto ni juu yako,,sijui nini kinabakia hapoila hizi kazi, hapo ukute hata off hamna
walioweka huo utaratibu walijua kabisa kuna muda mtu anatakiwa afanye kazi, kunaa muda akae na familia na kuna muda anatakiwa aenjoy ndio msingi wa hiyo sheriaAyafanye majukumu yake ya kijamiii sasa hivi akiwa hana kazi ayafanye 24 hrs hamna wakumzuia wala kumpangia...
Ukikubali Kuajiriwa Fata taratbu za muajiri wako,
Kila kitu ni makubaliano, ukiona unabanwa Kausha endelea kufanya Majukumu yako ya Kijamiiii.
Elfu 40 ni hela ya kuja kusema unapata kwa siku na una masaa ma 4 tu ya kupumzika...Nikisikia neno ajira naonaga gundu yaan asubuh to usiku laki 3 yaan kwa siku unaingiza elfu kumi wakat menyewe kwa siku nimekosa sana naingiza 40 tena napata karibu masaa ma4 ya kupumzika polen na ajira zenu