Kazi ya kusimamia guest house

Kazi ya kusimamia guest house

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,149
Reaction score
1,735
Habari.
Wakati corona ikiendelea kutafuna uchumi wa mtu binafsi, bado kuna movement ya watu kutoka maeneo tofauti kwenda mengine.

Nina uzoefu wa mwaka mmoja kusimamia nyumba ya kulala wageni (guest house). kutokana na uzoefu huo ninajua mbinu nzuri za kuvutia wateja wapya na wa zamani hata kama guest iko mafichoni. Iwe mkoa wowote lakini isiwe dar es salaam, nikipata mbeya, iringa, na mikoa yenye borders itakuwa vyema.

Kama una guest house au unafikiria kuanzisha hii biashara njoo PM tuyajenge.
 
Unatumia mbinu gani? Kuvuta wateja isije kuwa muzizi?
 
Back
Top Bottom