Tatizo la vijana ni kuwa ukimpa sehemu ya kujipatia ridhiki yeye anawazia utajiri....matokeo yake ni kukuibia......
Sanaaaa,yaaan mkuu nashindwa kuandika hapa kwa maelezo ila pamoja na changamoto za biashara sijapata mtu muaminifu na mchapa kaziUwezekano wa huyu mtu kua na pesa karibu au kumzidi mshahara graduate ni mkubwa. Hao ndugu zako bado maisha hayajawagusa vizuri halafu inaonekana mbeleko za kuwabeba zipo nyingi.
Nishakutana mwenye degree anataka ulaini mazingira ya kazi kuelezea akaona ugumu,hii kazi ni skills tu na kuwajali wateja na kutia juhudi haiihitaji gpaBoss kwan hapo elim inahusikaje kwa mfano....?
Kwan iyo kazi mtu akielekezwa si anakuwa na uelewa wa kuifanya au inaitaji taaluma zaid...?
Na hao wakina Mchechu wanalipwa hela kidogo..!!?Siyo dhambi kua na vision.
Baunsa anayelinda mlangoni kwa siku atalipwa elfu 20, akilinda mechi ya Simba na Yanga makubaliano ni elfu 50 halafu hailipwi hata miezi itakatika.
Na mabaunsa hua wanakubali wakitegemea kua wakifika huko wataiba na waajiri hua wanabargain kwa bei hizo wakijua huyu mtu ataiba.
Akilipwa laki moja au laki na nusu atawaza kuiba?
Mlipe mwajiriwa wako vizuri muwekee mazingira ya kumuamini uone kama atakuibia.
Mchechu ni kijana?Na hao wakina Mchechu wanalipwa hela kidogo..!!?
Kwenye comment yako ulijumuisha waajiriwa wote...!!Mchechu ni kijana?
KaribuAmina,
Asante dada.
mkuu naomba hiyo nafasi tafadhaliHabari wakuu natafuta kijana anayejituma mdogo kwa ajili ya biashara ya kuosha magari
Awe anaishi dar
Anajituma na muaminifu sana
Kazi nitamfundisha