shemweta91
Senior Member
- Sep 4, 2013
- 101
- 18
Duha kimya nimetoka kata kuangalia kimya
Deadline ya kupeleka maombi ya kaz kwani ishapita?
Ndio ilikua ijumaa
Duha kimya nimetoka kata kuangalia kimya
Majina yanaweza kubandikwa leo pale manispaa! Keep on waiting
Nilipita pale jana asubuhi 24/06/2015 wakanambia kua ijumaa huenda majina yakatoka na kuna uwezekano jumatatu ndo tukafanya usaili hii ni kutoka masijala japo alisema nae hana uhakika
boss mbona kimya sana na umesema utatutapia taarifaWa ilala ntakuja na feedback from now coz naelekea huko sasa!
Wiliya ya kinondoni wanabandika leo
Ivi wamebandika?
Wadau mrejesho ni huu! Masjala wamedai kuwa majina yatawekwa leo jioni au kesho kwa walioomba ilala