Kazi ya Kuajiriwa

Kazi ya Kuajiriwa

Kuanzisha ajira nikiwa bado na hii kazi haitawezekana maana huo muda wa kufuatilia hakuna.

Badala ya kuachana na ajira moja kwa moja..Unaweza tafuta kazi ingine ambayo utakuwa na nafasi kidogo ya kuchungulia biashara zako,wakati bado unagain experience ya biashara..Biashara ni rahisi sana kuizungumza mdomoni.
 
Inategemea na malengo yako kama yametimia acha leo...je umejipanga kuwa nani ukiacha kazi kuwa mkulima, mfanya biashara, mwizi...baada ya majibu yako naweza kukushauri zaidi....



Nataka kuwa mfanyabiashara mkuu.
 
Raha ya kazi ni kujiajiri mwenyewe ila kama huna namna inabidi uajiriwe tu. Hasa serikalini ni raha lakini mashirika /mtu binafsi ni shida tupu.
 
Kuajiriwa ni utumwa kuna jamaa yangu ana CPA mpaka leo anaandika voucher serikalini,
 
Usiache kazi kichwa kichwa ukaenda kujiajiri,anza taratibu kuweka misingi ya kujiajiri,,utasanda!!
 
Back
Top Bottom