Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
- Thread starter
- #21
Utaacha kazi ya kuajiriwa pale tu utakapoona maslahi unayopata ni madogo na hayalingani na unayopata kwenye shughuli au vitega uchumi vyako binafsi.
Na muda pia sipati wa kufanya shughuli zangu binafsi kazi ni mwanzo mwisho hakuna siku kuu wala nn.