Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
- Thread starter
-
- #21
Utaacha kazi ya kuajiriwa pale tu utakapoona maslahi unayopata ni madogo na hayalingani na unayopata kwenye shughuli au vitega uchumi vyako binafsi.
kuajiriwa ni utumwa
kwa swali hili mkuu inaonekana hauko tayari,fanya hivi zidi kuongeza assets na skills za kijasiliamali!
Maamuzi yangu yako sahihi tatizo ni yeye kutokutaka tuachane kikazi.
Mkuu nawe umezubaa sana inamaana kwa muda wote huo uliyofanya kazi hapo umeshindwa hata kujiwekea akiba ili uje utimize lengo?Nitawezaje kuongeza assets wakati ninachotegemea nilipwe ndio nitoke hapa nilipo mkuu?
Mkuu nawe umezubaa sana inamaana kwa muda wote huo uliyofanya kazi hapo umeshindwa hata kujiwekea akiba ili uje utimize lengo?
Mmmhhhhh kweli huo ndio utumwa wenyewe sasa, hata sikukuu?Na muda pia sipati wa kufanya shughuli zangu binafsi kazi ni mwanzo mwisho hakuna siku kuu wala nn.
Ndugu kazi hupatikana ndani ya kazi, tafuta kazi nyingine ukiwa bado ndani ya ajira yako. Ukifanikiwa kupata ajira sehemi nyingine ambayo kidogo itakuwa na muda wa kupumzika ndio uanze mchakato wa kujiajiri ndugu.Kwa maana hio niendelee kufanya bila kuwa na matarajio ya kuwa na yangu?
Utawekaje akiba wakati kazi sio yako maamuzi sio yako Mapato yote mwenyewe ndio anaamua.
Duh! mkuu pole sana ikiwa hali yenyewe ndiyo hiyo, ila endelea kupigana huenda ipo siku ukatimiza ndoto yako.
Ndugu kazi hupatikana ndani ya kazi, tafuta kazi nyingine ukiwa bado ndani ya ajira yako. Ukifanikiwa kupata ajira sehemi nyingine ambayo kidogo itakuwa na muda wa kupumzika ndio uanze mchakato wa kujiajiri ndugu.
Kuna msemo usemao:
Umeomba kazi fanya kazi, ukiona kazi kufanya kazi acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi kuliko kwenda kazini kwenyewe...
Mmmhhhhh kweli huo ndio utumwa wenyewe sasa, hata sikukuu?
mwonge Mungu wa kweli kwa mipango mipya fata sheria za business cycle hapa namaanisha umejua utafanya biashara gani na unakipato kiasi gani muda ni wowote ule ukizingatia hayo afu nakushauri utafute biashara inayouzwa maana ni nafuu zaidi kuliko kuanzisha
Wanaoacha kazi hawaombi ushauri wala hawasemi...ukiona mtu anahubiri kuacha kazi hatakuja kuiacha hiyo kazi labda afukuzwe!!
usiende kazini tuone kama atakufata home! na akija home waambie wenzio waseme haupo