Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
When u'l be fired..
acha sasa ivi kuajiriwa ni utumwa jitume!
inategemea na namna ulivyojiandaa na kujiajiri mwenyewe. Muda wowote ni muafaka lakini nadhani ni kufanya mapema zaidi kutoka katika utumwa huo wa kuajiriwa.
Kama unajiamini na maamuzi yako ni sahihi...
jiulize unataka kuacha kazi za kuajiriwa ufanye nin?
ukishapata jibu la swali hilo. anza kuwekeza huko mambo yakiwa vizuri kidogo unaweza ukaacha kazi.
usije ukaacha kazi alafu ukute hujajipanga
umeshamwibia nini?
Huyo aliyekushauri uache kazi kabla ya kuhakikisha uthabiti wa hiyo ajira yako binafsi, hakutakii mema. Jaribu utarudi hapa hapa ukiomba hata hela ya nauli ya daladala.Nataka niache kazi nikafungue ya kwangu mkuu.
Lakini siwezi kufungua yangu bila kuacha hii ninayoifanya
acha sasa ivi kuajiriwa ni utumwa jitume!
nahisi muda wowote kuanzia sasa kama umejiandaa vya kutosha waweza jiajiri kwani kuajiriwa ni utumwa na haukupi muda wa kujiandaa mwenyewe kiuzeeni
Huyo aliyekushauri uache kazi kabla ya kuhakikisha uthabiti wa hiyo ajira yako binafsi, hakutakii mema. Jaribu utarudi hapa hapa ukiomba hata hela ya nauli ya daladala.