Kazi ya 'Janitor ii' inahusiana na nini?

makalango

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
448
252
Habari za mchana?samahani nimeona tangazo kupitia page ya sekreteriati ya ajira on behalf of mzumbe university wametangaza nafasi mbali mbali miongoni mwa post iliyonigusa mimi ni janitor ii naomba kuuliza maswali mawili;
1.kazi kubwa ya janitor ii ipi mana wengine wanasema ni wafanya usafi wa chuo
2.mshahara wa pgss 4.1 ni sh ngapi? Natanguliza shukrani.
 
Attachments

  • 20200106271754TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MZUMBE NA CBE.pdf
    700.8 KB · Views: 32
Kutoka google
Screenshot_20200602-143624_Google.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa Mzumbe, janitor alikua ni yule mtu anae'control masuala ya hostel. Yaani kujua anampangia nani katika chumba kipi, pia ndiye alikua mgawa magodoro na kuhakikisha kuwa hostel zipo katika hali ya usalama kutumika
Ahsante mkuu kwa mchango wako nimekuelewa vizuri kwa hiyo yeye hafanyi usafi. Barikiwa sana
 
ooh sisi chuoni kwetu tulikuwa tunamuita warden mtu kama huyo.
Nikiwa Mzumbe, janitor alikua ni yule mtu anae'control masuala ya hostel. Yaani kujua anampangia nani katika chumba kipi, pia ndiye alikua mgawa magodoro na kuhakikisha kuwa hostel zipo katika hali ya usalama kutumika
 
Ahsante mkuu kwa mchango wako nimekuelewa vizuri kwa hiyo yeye hafanyi usafi. Barikiwa sana
Yap, ila anahakikisha kuwa usafi umefanyika, pia repair za umeme na furnitures lazma yeye ndo awe consulted kabla ya chochote.
 
Ndio alikuwa anafanya kazi gani huyo warden
Pamoja na zingine, pia alikua anawaajibika kwa hizo kazi nilizoonesha kuwa sasa ni za janitor. Wadern kwa sasa amebaki kama msaidizi wa Dean of students katika suala la malezi ya wanafunzi kwa ujumla
 
Ahsante mkuu itanifaa ngoja nipambanie kombe
 
Habari za mchana?samahani nimeona tangazo kupitia page ya sekreteriati ya ajira on behalf of mzumbe university wametangaza nafasi mbali mbali miongoni mwa post iliyonigusa mimi ni janitor ii naomba kuuliza maswali mawili;
1.kazi kubwa ya janitor ii ipi mana wengine wanasema ni wafanya usafi wa chuo
2.mshahara wa pgss 4.1 ni sh ngapi? Natanguliza shukrani.
================================================================================
Janitors : Keep buildings such as schools, office spaces, hospitals, retail stores, and residential buildings clean and in good condition. Their primary responsibility is as a cleaner, but in many cases janitors also perform security and maintenance tasks.

Ahsante
 
Habari za mchana?samahani nimeona tangazo kupitia page ya sekreteriati ya ajira on behalf of mzumbe university wametangaza nafasi mbali mbali miongoni mwa post iliyonigusa mimi ni janitor ii naomba kuuliza maswali mawili;
1.kazi kubwa ya janitor ii ipi mana wengine wanasema ni wafanya usafi wa chuo
2.mshahara wa pgss 4.1 ni sh ngapi? Natanguliza shukrani.
Kwa siku hizi huwa wanakuwa wafanya usafi mkuu kutokana na majukumu yake kufanywa na warden msaidizi yaan warden II. Kwahiyo kama huna interest za kufanya usafi ni bora usubiri itakavyotoka yenye field yako moja moja kwani usafi inahitaji moyo mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom