elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Haya masuala ya programming ukiomba ushauri mtu unachanganyikiwa mwingine atamwambia achana na c# unless unataka kuwa programmer wa drivers soma c++ ni objective oriented.Tembea na python kama unataka kuteleza.. kama uko serious abt programming jichimbie na C..
Mkuu ukiulizs hili swali utachanganyikiwa kwa majibu ya watu!!Sasa nianze na kusoma nini?
Napena sana mambo haya ya IT na nataka kutengeneza webitesMkuu ukiulizs hili swali utachanganyikiwa kwa majibu ya watu!!
Ukitaka kujua uanze na nini..jiulize haya...
1. Je unaipenda mambo ya IT?
2. Je unapenda kutengeneza softwares kama za kwenye simu/android au unapenda uwe unatengeneza websites??
3. Je una idea au basics za computer programming?? Nb...hata kama huna idea unaweza jifunza programming as long as una passion!!
Ukiyajibu haya maswali utapata sehem nzuri ya kuanzia!!
Websites huna haja ya kusoma c++ au c!! Anza na css na html baada ya hizi amia kwenye javascript au uhamie kwenye php..Napena sana mambo haya ya IT na nataka kutengeneza webites
htm na css na idea idogo lakini sijajua namna au njia itakayo nifanya ni specialize zaidi je unaweza ukaniongozaWebsites huna haja ya kusoma c++ au c!! Anza na css na html baada ya hizi amia kwenye javascript au uhamie kwenye php..
Point of Correction; HTML Sio scripting language pia,, ni mark up language na CSS ina apply style kwenye mark up language.NB: html na css sio programming languages ni SCRIPTING LANGUAGES!!
Nashukuru sana kwa marekebisho!!Point of Correction; HTML Sio scripting language pia,, ni mark up language na CSS ina apply style kwenye mark up language.
Inategemea unataka nini!! Ila kama ni web dev then anza na html na css alafu usome kavascript ndio uende j query kama unataka kuwa feontend dev!!Na je jsquery itafaa ?