Kazi wap jaman

Kazi wap jaman

Elerai

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
474
Reaction score
139
Ndugu zangu maisha yamekuwa magumu nataman hata kama ntapata kaz ya daladala me nafanya jamani . Humu jf kuna watu wana biashara ee jaman 2kumbukane bac hata kam salary 50000 . Niko dar jaman kurudi siwezi eeeh Mungu baba unikumbuke leo nimeandika barua nying cjajibiwa hata 1 bac naombeni kazi jamani nateseka kwelkweli nasema kutoka moyoni
 
mkuu Nipe Jinsia Na Ujuzi wako?
Ulikuja Dar kufanya Nini, Na Unataka Kurudi Wapi?

Nami Ninatafuta Kazi Hapa, Lakin sijapata!
 
Jinsia mwanaume degree2012 nlikuja kufuatilia kazi sehemu flani sasa naona kama hali ngumu jamaa yang
 
Jinsia mwanaume degree2012 nlikuja kufuatilia kazi sehemu flani sasa naona kama hali ngumu jamaa yang

Dah!
Pole Sana Ila Subiri Maboss Waje, Nazani Watakusaidia

Ningekuwa Na Uwezo,Hakika ningekufadhiri, Kwani Inaonesha Umeathirika Sana Na Hari Inayokukabili

Molah Amjaaliye Wepesi Wa Moyo kwa Kila Atakayesoma
Angalau Wapatikane Hata Wakukuchangia Pesa Kwa M PESA Nauli Au endapo utakuwa tayari kujiajiri!

Husikate Tamaa...Yote Ni Mapito Ya Kuyafikifikia Mafanikio!
 
pole sana brother Elerai ndo maisha haya ya vijana wengi si wewe peke yako,ila nakuombea kila la kheri Mungu akujaalie upate angalao kazi yeyote ambayo unaweza kujikimu. najua umetokea arusha, huwezi jua bahati yako kwa Mungu siku ikitokea basi utajulishwa, natamani kumsaidia kila kijana lakini uwezo huo sina jamani, nina uchungu sana na maisha, najua hali mtu anayojisikia kwa kutokua na kazi na maisha ni magumu sana, mtu anahitaj hata kununua kijiko sahani lakini ataviweka wapi wakati hata chumba hana? inauma sana, dukani kwangu nina vijana wawili labda kama utakua seriouse kweli na unachosema naweza hata kuongea na mabest nichek amelinechao@gmail.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom