Kazi/tender

Kazi/tender

Kizitonga

Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
32
Reaction score
0
Habari zenu wakuu,napenda kuomba kwa member yeyote mwenye uhitaji wa mambo yafuatayo ili awasiliane nasi,
Kozi ya lugha ya kiingereza,kozi ya lugha ya kiswahili kwa wasiojua lugha hiyo.Kwa wakaazi wa Dar es salaam utafuatwa kokote na kwa muda unaotaka isipokuwa usiku wa manane,
Pia tunatoa huduma ya kutafsiri lugha zifuatazo;
Kiingereza-Kiswahili,
Kichina-Kiingereza,kiswahili,
Pia kwenye maigizo(movies)hasa za kiswahili zinatafsiriwa(Sub titles)
Karibu sana,tunafanya kazi kwa kiwango cha juu kabsa na bei zetu ni maelewano.
Kwa taarifa zaida piga simu au tuma meseji 0798305840.
Asanteni sana.
 
huduma nzuri mkuu kwa upande wangu naona tuelekee kenya maeneo ya lamu kule wageni wengi mno na wanahitaji huduma hiyo ya kufundishwa kiswahili.
 
Hata mashariki mwa DRC wanahitaji hii huduma

twende zetu mkuu but tatizo la wizara ya mambo ya ndani katika nchi hii inayojinadi vizuri ktk maandiko mbalimbali vizuri kumbe ina uozo kibao unaweza kufuatilia kibali mpk ukaghaili. mhhh .
 
twende zetu mkuu but tatizo la wizara ya mambo ya ndani katika nchi hii inayojinadi vizuri ktk maandiko mbalimbali vizuri kumbe ina uozo kibao unaweza kufuatilia kibali mpk ukaghaili. mhhh .[/QUOT
Mkuu huko Lamu na DRC unakozungumzia,wangekuwa na uhitaji na wakatutafuta tungetafuta njia ya kuwafikia,tofauti na hapo hayo ni maoni yako
 
Back
Top Bottom