Wakuu kuna nafasi za kazi nimeona za Uchumi Supermarket ila wanadai wanapatikana Quality, Mlimani na Mayfair, mwenye idea na hili anijuze wakuu mana nahofia yaweza kuwa changa la macho coz ukipiga simu wanasema interview ilikuwa leo but nikawaone pale Mliman City. Kuna yeyoye ana jua kuhusu kazi hizo?