Kazi stamico

Kazi stamico

Kwan uulizaji upoje nieleweshe siku nyingine nijtahid kuwa sawa

Unaweza kuuliza kama ifuatavo, STAMICO walitangaza nafasi za kazi za kada mbalimbali nimesahau deadline maana nilitumiwa vacancy husika na mtu nae anasema pia aliipata kutoka kwa mtu mwingine, tafadhari mwenye kujua deadline anijuze nisibweteke kumbe watu walishamaliza zamani kuaply
 
Asipokuelewa ndio basi tena
 
Naomba msaada pia, ngazi za mishahara yao waeandika kama smc 7,smc 6, smc 5,4, 3,2 n.k. Hizi ngazi ni sawa na tsh ngapi.
 
Uzoefu wa kazi za mgodini unao? Ushawahi ku operate jackleg machine?ceasar,kuchaji face,blasting,fire fighting n.k? Maana walisema uwe na uzoefu kwanza
 
Back
Top Bottom