Kazi -Secretary/Office Manager

Kazi -Secretary/Office Manager

lawyer2

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
224
Reaction score
67
Salaam..nahitaji secretary/meneja wa ofisi,ofisi ni ya uwakili na ipo Dar es salaam maeneo ya Muhimbili.Mwombaji atakua na jukumu la kutunza ofisi,kupokea wageni ,usafi wa ofisi,Kufanya mawasiliano ya ofisi,kuandika machapisho ya ofisi nk. Mwombaji awe wa kike na umri kuanzia miaka 18-40.Kwa yoyote atakaependa basi awasilishe maombi yenye barua ya maombi na CV kwa kuyatuma kwenye email ndaha2000@gmail.com au kuyaleta ofisini kwetu Villa Stephen Building,Plot no 568,Mindu street-Upanga kabla ya tar 27.10.2016.Kwa mawasiliano waweza tuma ujumbe mfupi yaani SMS au WhatsApp kwenye namba 0659900000.Karibuni wote
 
Office manager tena afanye usafi?Kwanini msitafute mtu wa usafi jamani?
 
Back
Top Bottom