Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
Wakuu JF, Amani iwe nanyi.
Mara nyingi sana nikiwaga Namuangalia Lissu, the way anavyojengaga Hoja, the way anavyopanguaga Hoja, hasa hasa zile Hoja za kutungwa na watu wenye Roho za Kishetani, sina haja ya Kuwataja, Mnawafahamu nina Uhakika,the way anavyojielezea Mbele za Watu na Mbele ya Kadamnasi kwa Ujumla.
Na Pia, Kila nikiangalia Kazi za Mikono ya na Kichwa cha Lissu, Matokeo yake yanadhihirisha Huyu Kamanda ametumwa na Mungu.
Kama nikiorodhesha Kazi alizo zifanya Lissu, Nadhani the list will be endless, the list will be infinite.
Ila Hawataubadilisha ukweli ulio wazi kuwa, Tundu Antipasi M Lissu ni Alama ya Uwepo wa MUNGU CHADEMA , Tanzania na Duniani kwa Ujumla
=================================
Hili la Dodoma linazidi kunifanya niamini kuwa Lissu ni Zaid ya Nabii kwa wa Tanzania
=================================
Ushahidi zaidi.
=======================
Kwa yanayojiri Dodoma kwa wale tunaofuatilia Bunge Maalum la Katiba bila kuweka ushabiki na unazi wa Kichama.
Huyu Jamaa ni Nguli na Gwiji Kabisa katika tasnia ya Sheria, ameonesha kuzielewa,kuzi mastaer na kuweza kuzi tafsiri vyema kabisa kanuni za uendehsaji wa Bunge la katiba based on Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
Lissu ameendelea kuwafumbua macho watu wengi waliokuwa wanashadadia kwenye kupitisha vifungu vya Kipuuzi kabisa kwenye Sheria ya Mabadiliko ya Katba bila kujua Madhara yake kwenye utekelezaji wake.
Tunaona sasa ni jinsi gani Kanuni zenye afya kabisa zinashindwa kuwa accomodated kwenye kanuni za uendeshaji wa Bunge la Katiba kwa kuji contradict na Sheria Mama ya Mabadiliko ya Katiba.
Mungu Mbariki tundu Lissu.
============================
Ushuhuda wa Dhahiri.
Leo tumeona Gamba moja wapo Sugu kabisa Ole Sendeka liki mu appreciate Mh Lissu na kumuomba Rais JK amteue Mh Lissu kuwa waziri wa Sheria...
Hii ina Maana kuwa wote waliowahi kushika wadhifa wa uwaziri wa Sheria including Mama yetu yule anayesemekana ku Prove failure UN kuwa si lolote si chochote mbele ya Mh Lissu.
Na Bado
=============================
Waone Pasco, Zogwale, MTAZAMO, Mimibaba Mchambuzi, Mzee Mwanakijiji, Invisible Mungi Arushaone mwanampotevu , bila kuwahasu wanazi wa ACT (Allience for Cowards and tratitors) betlehem , Dotto C. Rangimoto , Boko harama na wale wa Buku 7 FC Wakiongozwa na Ritz
=========================
Jana katika Bunge Maalum la Katiba imedhidi kudhihirika ni kwa namna gani huyu jamaa ni Tunu kwa taifa letu.

1. Msomi wa Shahada ya Uzamili ya Sheria
2. Wakili Msomi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na nyinginezo isipokuwa Mahakama ya Mwanzo
3. Mwanasiasa kijana machachari na Mbunge wa Singida Mashariki kupitia CHADEMA
4. Mjenzi mzuri wa hoja kwa kutumia takwimu,maandiko,taarifa rasmi na ushahidi uliosheheni ukweli
5. Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA
6. Mwanasiasa mwenye aina ya pekee ya uzungumzaji na mshawishi kwelikweli
7. Mwanasiasa jasiri,mkweli na anayeakisi aina ya viongozi na Wabunge waliopo CHADEMA
8. Msemakweli wa Taifa hili na hazina ya kimawazo tuliyonayo kama nchi
9. Mwanasiasa anayeendana na wakati na mazingira yaliyopo katika kujenga hoja zake
10. Mfano wa kuigwa...........no research,no right to speak
Na huyo ndiye Wakili Msomi na Mbunge/Mjumbe Tundu A.M.Lissu!