Kazi nzuri Ezekia Wenje!

Wenje kwanza Mwanza hatakiwi tena hichi ndio kipindi chake cha mwisho!

Kawadanganya wafanyabiashara wadogo (Machinga) pale Mwanza wakati wa kampeni eti mkinichagua mtaendelea kufanya biashara zenu maeneo ya Makoroboi, Lumumba, Libert, Pamba, Nkuruma, Bantu, Nyerere, Uhuru, leo hii CDM Mwanza wamepata Mbunge na Meya, wamewafukuza wafanyabiashara dongodogo (Machinga) wote kwenye maeneo nilioyataja.

Kweli Kazi nzuri Ezekia Wenje

acha uongo wewe!

kwanza wewe sio mpiga kura wa Nyamagana, halafu anayesababisha fujo bungeni ni CCM na Wenyeviti.Mbona hoja ya dharura ya Makamba ilikubalika na hata Wenje alipotolewa wapo wabunge wa CCM waliopiga kelele atoke na hawakufukuzwa. Wewe wa wapi bwana?
umesema kweli maana woyowoyo anarukia mambo hajui anachokisema ccm ndio wanaolala bungeni wakiamka atokeeee

Wanje ni moto wa kuotea mbali

naikumbuka kauli yake hii 'ccm wasiwasumbue polisi wanapochukua rushwa maana wanawaiga mawaziri wanaopia deal, ccm izuie kwanza mawaziri kupiga dili ndio iiseme polisi kwa kula rushwa'

Hizi ni fikra pevu!!!

Wenje kwanza Mwanza hatakiwi tena hichi ndio kipindi chake cha mwisho!
Kawadanganya wafanyabiashara wadogo (Machinga) pale Mwanza wakati wa kampeni eti mkinichagua mtaendelea kufanya biashara zenu maeneo ya Makoroboi, Lumumba, Libert, Pamba, Nkuruma, Bantu, Nyerere, Uhuru, leo hii CDM Mwanza wamepata Mbunge na Meya, wamewafukuza wafanyabiashara dongodogo (Machinga) wote kwenye maeneo nilioyataja.
Kweli Kazi nzuri Ezekia Wenje

We umelogwa na ccm' haujafatilia sakata la wamanchinga Mwanza una kurupuka tu.We haujui kuwa Kandoro alikuwa analaumu viongozi wa Chadema akiwemo wenje kwa kuwatetea wamachinga?!

Wewe unakaa Mwanza gani labda Kiseke au Kayenze, Nyerere road Machiga wamefukuzwa, Libert, Lumbumba, Rwagasore kote huko Machinga wamefukuzwa, wameambiwa waende uwanja wa sabasaba Ilemela, karibia na airport

Kumbuka Uongozi wa Mkoa unajumuisha viongozi wengi-Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na watendaji wengine hivo sio lazima maamuzi yote ya Wenje wakayasikiliza hawa watendaji wengine. Mi nafikiri hayo maamuzi yalilazimishwa kwa nguvu na wakubwa wa mkoa wa chama cha magamba.

"Magamba siku zenu zinahesabika"

We umelogwa na ccm' haujafatilia sakata la wamanchinga Mwanza una kurupuka tu.We haujui kuwa Kandoro alikuwa analaumu viongozi wa Chadema akiwemo wenje kwa kuwatetea wamachinga?!

Huyo ritz ana matatizo yake,achana nae!

...wewe ritz unaishi Mwanza upandegani?,isijeikawa unaishi maeneo ya Busweru na alfu ukawa unapitishwa mjin ukielekea Bugando C-one kutibiwa akili,hao wanao kuwa wakusindikiza Bugando waambie siku moja wakupitishe Makoroboi ujionee mwenye vijana wakazi tukiwa mitambon tukichapa kazi.Acha na ukome kuwadanganya watu waliombali na Mwanza,mbunge wetu WENJE ni jembe na Chadema imeleta matumaini mapya Mwanza...PIPOOOOOOS PAWAAAAAA...CHAAAAAADEMAAAAA VEMAAAA...HAKUNA.....MPAKA.......

hatukumchagua kwenda kuleta fujo bungeni! tumemchagua kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nyamagana, ahadi hata moja alizoahidi hajatekeleza, miaka 5 sio mingi!

kazi kubwa ya mbunge ni kuwasememea wananchi wake na taifa kwa ujumla juu ya mahitaji yao kwa serikali inayokusanya kodi za wananchi. Ukiona mbunge anajenga shule, anasomesha wanafunzi,anachangia madawa etc hiyo ni hisani yake. Kama anakusanya kodi kwa wananchi na asisimamie serikali hapo kweli hafai lakini kama hakusanyi kodi na anaisimamia serikali na kuwasemea wapiga kura wake sijui ahadi zipi atakuwa hajatekeleza.

Wenje kwanza Mwanza hatakiwi tena hichi ndio kipindi chake cha mwisho! Kawadanganya wafanyabiashara wadogo (Machinga) pale Mwanza wakati wa kampeni eti mkinichagua mtaendelea kufanya biashara zenu maeneo ya Makoroboi, Lumumba, Libert, Pamba, Nkuruma, Bantu, Nyerere, Uhuru, leo hii CDM Mwanza wamepata Mbunge na Meya, wamewafukuza wafanyabiashara dongodogo (Machinga) wote kwenye maeneo nilioyataja. Kweli Kazi nzuri Ezekia Wenje
mkuu sizani ka unauhakika na ulichozungumza kwanini nakwambia ivo wenje amekuwa mstari wa mbele katika kutetea wamachinga na hadi sasa tunavoongea ni kwamba machinga wanaendelea na shughuli zao katika maeneo uliyoyataja na kama unataka kukosana na vijana wa jiji la mwanza mtukane wenje utaona moto wake.

Back
Top Bottom