Kazi nzuri Ezekia Wenje!

Kwanza kauli hii ni kwa niaba ya sisi vijana 20, najua wapo wengine pia.....

Napenda kukupongeza kwa juhudi yako wewe pamoja na wabunge wengine kwa kuipigania haki yetu watu wa hali duni, tunautambua na tunaiona michango yenu wabunge wetu, napenda kuwatia moyo na tunawaambia kuwa tupo nyuma yenu, msiogope, kazi ya ukombozi sio ndogo endeleeni nasi tupo nyuma yenu no matter what!

I thought ungetwambia kafanya nini?
au kapigani vipi hizo haki za watu duni?

Kazi gani kafanya Wenje wewe kwanza jamaa ni Mkenya!
Duh! huyu jamaa asubuhi yupo mchana yupo usiku yupo, kweny udaku,siasa mpaka mapenz wapo usiku kucha,naona ameajiriwa pamoja na Faiza Fox kufaya kazi ya magamba hapa jf

Kijana mimi humu JF, napita tu angalia posts zangu na muda niliojiunga JF, halafu uwezi kunikuta kwenye hayo majukwaa yenu unayosema.
Karibu sana Jf. Kijana mimi ndio Ritz

huyu ni wale jamaa wenye kunyoa upara na kufuga ndevu nyiingi!! wanao muda wote hapa duniani...akili zao za kushikiwa utaziona tu toka mbali!

hatukumchagua kwenda kuleta fujo bungeni! tumemchagua kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nyamagana, ahadi hata moja alizoahidi hajatekeleza, miaka 5 sio mingi!

Hivi ni WOYOWOYO AU WAYAWAYA, wa magamba wametekeleza ahadi gani?

Hivi kazi gani nzuri kafanya Wenje labda hii hapa.
Januari 26, 2011 Meya wa Jiji la Mwanza Josephat Manyerere na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji hilo, Wilson Kabwe kwa kushirikiana na Wenje, walitoa tamko la operesheni safisha jiji kwa kuwaondoa Machinga wote katikati ya Jiji la Mwanza.

Wamesahau kuwa hao Machinga ndio waliowapigia kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge

huyu ni wale jamaa wenye kunyoa upara na kufuga ndevu nyiingi!! wanao muda wote hapa duniani...akili zao za kushikiwa utaziona tu toka mbali!
Ungejua maana ya SWEKE kwa Kiganda au Kisukuma hata kusema naona noma naweza kupata bun, taku-PM sawa SWEKE

Wenje kwanza Mwanza hatakiwi tena hichi ndio kipindi chake cha mwisho!
Kawadanganya wafanyabiashara wadogo (Machinga) pale Mwanza wakati wa kampeni eti mkinichagua mtaendelea kufanya biashara zenu maeneo ya Makoroboi, Lumumba, Libert, Pamba, Nkuruma, Bantu, Nyerere, Uhuru, leo hii CDM Mwanza wamepata Mbunge na Meya, wamewafukuza wafanyabiashara dongodogo (Machinga) wote kwenye maeneo nilioyataja.
Kweli Kazi nzuri Ezekia Wenje

Naishi Mwanza Maeneo ulotaja Machinga wapo bize business,mkiwagusa kama kawa wanawapa kichapo polisi na migambo.Wenje forever!!!!!!Masha na magambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!

usiwe mjinga wewe,yeye ndo alipeleka polisi na mabomu ya macho siku ile kuwafukuja wamachinga?mkuu wa mkoa mwenyewe alikuwepo kusimamia ufukuzwaji wa wamachinga but tamko la meya ni kwamba hakushirikishwa yeye wala wabunge wake na hata madiwani wakati wa utekelezaji wa tukio hilo.sasa ulitaka afanye nini kama magamba wameamua na serikali ni yao?

Kazana mkubwa,kazi ya ukombozi ni ngumu sana ila ipo siku magamba wataelewa tu.keep it up!

Naishi Mwanza Maeneo ulotaja Machinga wapo bize business,mkiwagusa kama kawa wanawapa kichapo polisi na migambo.Wenje forever!!!!!!Masha na magambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
Wewe unakaa Mwanza gani labda Kiseke au Kayenze, Nyerere road Machiga wamefukuzwa, Libert, Lumbumba, Rwagasore kote huko Machinga wamefukuzwa, wameambiwa waende uwanja wa sabasaba Ilemela, karibia na airport

hatukumchagua kwenda kuleta fujo bungeni! tumemchagua kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nyamagana, ahadi hata moja alizoahidi hajatekeleza, miaka 5 sio mingi!

Je Boss wako kikwete katimiza ngapi?

usiwe mjinga wewe,yeye ndo alipeleka polisi na mabomu ya macho siku ile kuwafukuja wamachinga?mkuu wa mkoa mwenyewe alikuwepo kusimamia ufukuzwaji wa wamachinga but tamko la meya ni kwamba hakushirikishwa yeye wala wabunge wake na hata madiwani wakati wa utekelezaji wa tukio hilo.sasa ulitaka afanye nini kama magamba wameamua na serikali ni yao?

Asante sana!Kama hawajakuelewa hawatakuelewa milele!

Ritz,
Nyamaza kimya kama haupo Mwanza, Aliyekwambia wamachinga hawapo makoroboi ni nani???
Aliyekwambia kuwa wananchi wa Luchelele na Marimbe wamanyang'anywa maeneo ni nani?
Aliyekwambia ile purukushani ya iliyosukwa na Mkuu wenu wa nanihiii ambaye ni mtumishi wa Si SiEm kuwa ilihusisha pia Meya na Mbunge ni nani?
Tuko Makini Ritz, hatutaki propaganda,

Mwanza itasonga mbele hata serikali ya chama chenu inaitenga kanda ya ziwa.

Peoplesssssssss.........................Power

Back
Top Bottom