hatukumchagua kwenda kuleta fujo bungeni! tumemchagua kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nyamagana, ahadi hata moja alizoahidi hajatekeleza, miaka 5 sio mingi!
kwanza wewe sio mpiga kura wa Nyamagana, halafu anayesababisha fujo bungeni ni CCM na Wenyeviti.Mbona hoja ya dharura ya Makamba ilikubalika na hata Wenje alipotolewa wapo wabunge wa CCM waliopiga kelele atoke na hawakufukuzwa. Wewe wa wapi bwana?hatukumchagua kwenda kuleta fujo bungeni! tumemchagua kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nyamagana, ahadi hata moja alizoahidi hajatekeleza, miaka 5 sio mingi!

hatukumchagua kwenda kuleta fujo bungeni! tumemchagua kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nyamagana, ahadi hata moja alizoahidi hajatekeleza, miaka 5 sio mingi!
juzi kati nilipita kuelekea kitunda (pale relini-matembele ya kwanza if am not mistaken) niliona ofisi ya CDMMkuu samahani,
Upindishaji wa kanuni Bungnei kwa maslahi ya ccm ndo ni sehemu ya chanzo, tusimtwishe Wenje mzigo asiostahili.
Did you know that Palestinian refugees are the product of their own attempt of destroying Israel during six day war in June, 1967 where Israel scored a humiliating defeat against its Arab neighbours?Kazi gani kafanya Wenje wewe kwanza jamaa ni Mkenya!
Kazi gani kafanya Wenje wewe kwanza jamaa ni Mkenya!
Kwanza kauli hii ni kwa niaba ya sisi vijana 20, najua wapo wengine pia.....

hatukumchagua kwenda kuleta fujo bungeni! tumemchagua kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nyamagana, ahadi hata moja alizoahidi hajatekeleza, miaka 5 sio mingi!
Do ritz, nimekuona live jinsi ulivyo huna tofouti na Avatar yako,,We kazi yako ni kutishia wapenda mabadiliko ,,NYAU" ili wanyamaze we uendelee na hako kaposho ka msimu unachopewa na wanamagamba.

Wenje kwanza Mwanza hatakiwi tena hichi ndio kipindi chake cha mwisho!

Kawadanganya wafanyabiashara wadogo (Machinga) pale Mwanza wakati wa kampeni eti mkinichagua mtaendelea kufanya biashara zenu maeneo ya Makoroboi, Lumumba, Libert, Pamba, Nkuruma, Bantu, Nyerere, Uhuru, leo hii CDM Mwanza wamepata Mbunge na Meya, wamewafukuza wafanyabiashara dongodogo (Machinga) wote kwenye maeneo nilioyataja.

Kweli Kazi nzuri Ezekia Wenje

Kazi gani kafanya Wenje wewe kwanza jamaa ni Mkenya!