MC RAS PAROKO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 621
- 616
Mwaka wa tatu nazunguka kutafuta kazi.....ningeipata hiyo yako ningeshukuru sana.
Usiache kazi mkuu ukiacha ni sawa na kufuru.
Nenda pale makao makuu ya tigo ya zamani kuna outsourcing agency inaitwa ison BPO. Kila mwezi wanaajiri waweza ukabahatisha.
Nenda pale makao makuu ya tigo ya zamani kuna outsourcing agency inaitwa ison BPO. Kila mwezi wanaajiri waweza ukabahatisha.
merry x mass!
tafadhali unaweza kunielekeza hapo kwenye hizo office za ison BPO ,pengine na vitu gani vya kuamabatanisha katika suala la utafuji wa ajir mkuu!
Tabata(naamini ataiona hii post pia)Ungesema unaishi wapi akupe direction
Ukiwa tazara panda gari za gongo la mboto kwenda posta shuka kituo kinaitwa goldstar ulizia makao makuu ya zamani ya Tigo. Ikifika ulizia Ison BPOTabata(naamini ataiona hii post pia)