Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,723
Huyo kipanya anauliza maswali gani sasa hajui mtu akibeba mto kinachofuatia nini?
Mto wa kijani? That tells a lot!
Hivi unajua wakati vyuo na taasisi zetu za elimu zikishindana kuwazawadia wanasiasa PhD hakuna hata kimoja kilichomtambua KP haya kwa certificate!!!???Kweli huyu bwana KP alistahili kupewa nafasi awawakilishe kina Kingo and likely
Huo mto rangi ya kijani na kwenye nyeupe angeweka rangi ya njano pangekuwa hapatoshi.
Hivi unajua wakati vyuo na taasisi zetu za elimu zikishindana kuwazawadia wanasiasa PhD hakuna hata kimoja kilichomtambua KP haya kwa certificate!!!???