Kazi na experience

abrah15

New Member
Jan 26, 2011
1
1
Hivi hizi nafasu za kazi zinazohitaji experience wanamaanisha nini? au wanataka waliomaliza vyuo wasiajiliwe?
 
Kaka hiyo ni kila mahali duniani.
Kuna baadhi waajiri ama positions kama wanahitaji entry level/2011 graduates wataweka wazi. Lakini in most cases wanataka shule yako na experience. Wapi utaipata hiyo experience?....jibu: I don't know.
 
ndiyo maana nchi zilizoendelea fresh graduate huwa wana-opt kujitolea (volunteer) kwanza ili kuwapa experiance. Soma bio ya Obama utaona.
 
ndiyo maana nchi zilizoendelea fresh graduate huwa wana-opt kujitolea (volunteer) kwanza ili kuwapa experiance. Soma bio ya Obama utaona.
Nadhani sio mfumo wa haki kwa hapa kwetu. Waajiri wanataka vitu ready-made ili wao wa-exploit tu, na vijana wengi baada ya kumaliza elimu zao wanakuwa frustrated, ukute wengi wanatakiwa walipe mikopo ya vyuo na nyumbani wazee, ndugu, jamaa wanajua wamepata mkombozi. Nadhani solution nzuri ni kueka sheria kwamba makampuni yawe na trade fairs na program za internships kutegemea na ukubwa wa kampuni zenyewe, au ku-adopt something similar. Bila hivo wahitimu wengi watashindwa kuingia kwene soko la ajira na kuishia kurandaranda mitaani na kupoteza opportunity ya kuwa productive.
 
ndiyo maana nchi zilizoendelea fresh graduate huwa wana-opt kujitolea (volunteer) kwanza ili kuwapa experiance. Soma bio ya Obama utaona.

Huku US ndio maana vitu kama internship/volunteerism vinasaidia.
May be ndio maana Obama nae aliendakuwa community organizer mshahara 15K a year!!
Usikate tamaa na jitahidi sana kuwa mbunifu. Changamkia sana vitu kama internship, na ukiweza basi tafuta hata fake experience....hii imetusaidia wengi, lakini ole wako wajue ulidanganya, utakuwa fired on the spot.
Don't give up, man!
 
huku us ndio maana vitu kama internship/volunteerism vinasaidia.
May be ndio maana obama nae aliendakuwa community organizer mshahara 15k a year!!
Usikate tamaa na jitahidi sana kuwa mbunifu. Changamkia sana vitu kama internship, na ukiweza basi tafuta hata fake experience....hii imetusaidia wengi, lakini ole wako wajue ulidanganya, utakuwa fired on the spot.
Don't give up, man!

hivi kumbe kuna fake experience?..??... I never knew!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom