Kiingiacho tumboni na kutoka hakimtii mtu unajisi.
Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho mtu unajisi kama
Matusi, husuda, wivu, usengenyaji, uuwaji, wizi, ugomvi, uzinzi, ulafi, ulevi, ukabaji nk.
Kula bila kunawa hakumtii mtu unajisi.
Kuleni chochote kiuzwacho sokoni.
Waacheni wale mema ya nchi.