Kazi na dawa mjeda akiliwazwa

Kazi na dawa mjeda akiliwazwa

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,066
Reaction score
454
hapo ndo utajua haya makitu hayana breki.
 

Attachments

  • 112251_01_h_20130216131822.jpg
    112251_01_h_20130216131822.jpg
    14 KB · Views: 787
chezea dhambi ya adamu na hawa wewe
 
Masikini ajui kama huyo Duu ni wale wa kun'goa kucha anampeleleza kitu na asipo kuwa mjanja apati kitu na siri anatoa.....!!
 
Unakuta hapo yupo Lindo mpakani, maadui wanamteka kirahisi na kumuua alafu tunamzika kwa heshma zoote za kijeshi.
Nina wasiwasi hata Darfur walikutwa hivi hivi. Si kawaida kwa wanajeshi wetu wakakamavu kufa kirahisi vile.
 
Nina wasiwasi hata Darfur walikutwa hivi hivi. Si kawaida kwa wanajeshi wetu wakakamavu kufa kirahisi vile.

mbona kuna thread iliwahi kuja hapa kuwa majeda wanabeng' na totoz za huko? na muda si mrefu majeda wakauawa, au hujabahatika kuiona!
 
Back
Top Bottom