Kazi na Bata ni kauli mbiu inayomnyima usingizi Dr Bashiru

Kazi na Bata ni kauli mbiu inayomnyima usingizi Dr Bashiru

Ni kweli kauli mbiu ya Kazi na Bata imekuwa mwiba wa koo kwa CCM

Lumumba kuna waka Moto barua za kuwaita wale Wazee zimekwama, Makamba kasema amechoka wamwite Mzee wa Kazi na Bata hashikiki huku comred akiwa anapiga jalamba msituni

Hakika Bashiru na yule mnunua binadamu viti havikaliki wakiangalia ule ujambazi wa serikali za mitaa waliofanya huku wananchi wakiwasusia huku Mzee wa Kazi na Bata anapasua ngome , hali ni mbaya Lumumba kuliko tujuavyo

CC Mzee tupa tupa
Anayekosa usingizi ni Mzee Meko
Dr Bashiru anatumika tu ku convey ujumbe

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Mkuu naomba niufanye mjadala uwe mrefu kidogo halafu twende kwa hoja na huyo jamaa..

Ni vyema tumuulize anafikiri kwanini CCM ndio chanzo au moja ya chanzo cha umasikini wa watanzania??..

Kwanini pia unafikiri CCM sio moja ya chanzo au chanzo kikuu cha umasikini wa Watanzania?? Je kama sio CCM tatizo ni nini???
Mimi nasema tatizo siyo CCM kwani kwenye nchi zote za Sub-Sahara Afrika, tuna tatizo linalofanana .i.e. Tuna utajiri wa raslimali kibao lakini maisha yetu ni duni sana. Huko kwingine kote kuna vyama tofauti na kwingine kama Kenya na Zambia waliachana na vile vyama vya enzi ya CCM na kuchagua vyama vingine viwaongoze lakini haikuwa dawa! Huhitaji degree kujua kuwa kitu kinachotuunganisha sisi na hizi nchi ''uafrika mweusi'' ambao mimi naona ndiko tatizo lilipo. Ina maana kuwa kuna kitu ambacho tunakikosea wote kwa pamoja, nasioni kingine zaidi ya kushindwa kujitawala.
 
Mkuu umasikini wa nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umaskini ni njaa. Umaskini ni kukosa makazi au kuwa na makazi duni. Umaskini ni kuwa mgonjwa lakini unashindwa kujitibia. Umaskini ni kushindwa kuwa na shule za kusomesha na kukosa elimu. Umaskini ni kukosa kazi ya kuingiza kipato ya kufanya au kuingiza kipato kisichokidhi mahitaji yako. Umaskini ni kupoteza watoto na wanajamii kwa vifo kwa kukosa matibabu. Umaskini ni unyonge na kutokuwa na utashi wa kuamua ule nini, uvae nini, uende wapi au usihi maisha ya aina gani.
 
Hapo unaposema umasikini ni "unyonge " Rais wetu ni Rais wa wanyonge kwaiyo sisi ni masikini?
 
Hapo unaposema umasikini ni "unyonge " Rais wetu ni Rais wa wanyonge kwaiyo sisi ni masikini?
Ndugu unauliza kitu ambacho kipo dhahiri? Hivi hujui kuwa sisi ni miongoni mwa nchi maskini? Hakika sisi ni maskini.
 
Ni kweli kauli mbiu ya Kazi na Bata imekuwa mwiba wa koo kwa CCM

Lumumba kuna waka Moto barua za kuwaita wale Wazee zimekwama, Makamba kasema amechoka wamwite Mzee wa Kazi na Bata hashikiki huku comred akiwa anapiga jalamba msituni

Hakika Bashiru na yule mnunua binadamu viti havikaliki wakiangalia ule ujambazi wa serikali za mitaa waliofanya huku wananchi wakiwasusia huku Mzee wa Kazi na Bata anapasua ngome , hali ni mbaya Lumumba kuliko tujuavyo

CC Mzee tupa tupa
Ukitaka kujua kauli mbiu hii ya Kazi na Bata ni muafaka kwa wakati huu fuatilia ziara ya d.Mondi kule kigoma, watu wamepagawa utadhani papa Francis anagawa Maji ya baraka
 
Kama maana yenyewe ndo hiyo kutoka kwa viongozi wetu wataarajiwa baasi watanzania tuwe makini, kama wao wameridhia kuliwa na wakaliwa NA mabwana zao huko kutwa kucha wanaowaandikia kiingereza tweeter, wacha waendelee kuwa mabata, katu huku tusikubari maana sio mila wala desturi yetu, na pia ni kinyume cha sheria za nchi.

Mbaya zaidi wanadai sio tu tutakuwa mabata bali pia WATWANA, wanatuita WATWANA hawajashika dola vipi wakikamata nchi itakuaje? Siasa za kipuuzi sana hizi, jf mute huu uzi au muuondoe ndipo rangi zenu zitapojulikana maana za tweeter zishajulikana kama picha inavyoonesha hapo chini, ikipostiwa content msiyotaka ioneka kwa umma mwafanya hivyo, upande wa pili wakifanya inakuwa kinyume na demokrasia.

Hizi mambo sasa zinahitaji hasira.
BATA NA TWEETER.jpeg
Watwana.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mtu anaongea pumba ujue wasikilizaji ni kuku.

Nimetoka kapa ndukiiiiiiiiiii💩💩💩
 
Back
Top Bottom