Kazi kwetu wazazi.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Jamaa mmoja wakati akijiandaa kutoka out pamoja na mkewe na mwanawe.Mke mbele,mtoto kati na baba nyuma,mara mtoto akamtonya baba yake,'baba,umeiona inye ndembe ndembe?'.Baba akauliza,iko wapi?.Mtoto akamjibu huku akinyooshea mkono kwa makalio ya mamake,akasema,'ile pale kwa sauti ya chini'.Baba mtoto ambaye ni mfanyakazi mwenzangu akabaki midomo wazi.Ungekuwa wewe ndo huyo Baba ungechukua uamuzi gani?
 
yawezekana genious wa tandika!
MADA: Nita mchunguza kidogox2 bila ku mfokea au kipigo....kuna ka mziz katakuwa kam chpua sehem icyo yake.
 
Sasa hapo ndo mtoto anagundua kwanini ulimpenda mama.nukta

kama umemepandea mama watoto makalio lazima utakua na kazi nayo ya ziada mkuu...kabla hujabisha kumbuka amri ya 12...usibishe bishe usije ukabishiwa
 
kama umemepandea mama watoto makalio lazima utakua na kazi nayo ya ziada mkuu...kabla hujabisha kumbuka amri ya 12...usibishe bishe usije ukabishiwa
Amri ya 12...usimny'ang'anye asiye nyang'anyika maana mtanyang'anyana.
 
Back
Top Bottom