did u go to xul of that proffessional??? do u have TIAA Certificate ..
kwenye ndege zipi,manake twiga mnyonge imebaki stori,paa imefilisika,fj si yetu?hizi za kwenda mbugani ki kawaida hazihitaji labda jaribu kwenda arabuni,lakini halahala......eti jamani naomba msaada mnishauri..natafuta kazi ya air hostess ntapataje nimejaribu kutums maombi kimya sijibiwi najaribu kucheki mtandaoni kama kuna matangazo yoyote sioni.am so desperate right now i really need a job what should i do help please.
Yes i have all that.nimesoma kwa iata,i have a diploma in aviation studies but cant get a job till now.
pia ukumbuke face inalipaa???? maana ukiwa zombie kwenye ajira za anga utata kweli
maana kule wanahitajika warembo na watanashati, mwendo wa suruali na shati kisuit kutupiamo kwa sana
mult lingua,iata certification,height nazo ni added advantage
otherwise all the best endelea kukomaa kusaka ajira za anga
Bado hujawa na
vigezo vya ajira katika nafasi hiyo.
Vyuo vingi wanapenda sana kuwazuga wanafunzi kwamba ukimaliza kozi
fulani za IATA basi una uwezo wakupata nafasi kwenye post nyingi za
mambo ya Airline upo.
Certificate ya IATA haijawa na uwezo wa kukupenyeza kwenye Post hiyo.
Na ndio maana wengine wanakata mzizi wa Fitna na kwenda South Africa
kuna vyuo bora sana vya mambo hayo.Na ukirudi kama kuna nafasi
hubaki,ila ni kozi Ngum sana.Au hata pale Dar Airport nasikia wanatoa
kozi hizo.Kenya wapo Advanced sana kwenye hili pia
Na utambue Mult - Lingual Staffs yaani wenye kujua lugha zaidi ya moja
wana advantage kubwa sana,na ndio maana baadhi ya Airline hazichukui
Hostess mwenye Lugha ya Kiingerezea tu,Lazima uwe na ya Ziada.Kuna
Madada Pale BA wanapiga hadi lugha nne.
Na kuna mambo mengi sana tofauti na tunavyodhania kwa kusoma kwa
nadharia tu,moja kubwa Kwanza Lazima ujue kuogelea,
Sasa umepofeli wewe ni hapa:-
-Cheti hakijakidhi viwango
-Uwezo wako wa Lugha zaidi ya moja ni tatizo
-Mafunzo maalum ya kazi hiyo huna kabisaa,maana IATA hawayatoi,zaidi ya
kukutumia yale mavitabu yao telee.
Ushauri:
-Ongeza Lugha,angalau uwe na Kifaransa au
Kijerumani,Kispaniola,Kiitaliano,na kichina ni bora kwa soko la sasa.
-Chukua mafunzo maalum,na hii ndio tunasema mwanafunzi lazima ujue kwa
undani unachokisomea,na sio juu juu namna hiyo.
-Ukipata muda jifundishe kuogelea,la sivyo utafelishwa,maana hiyo ni
miongoni mwa Interview zao.
Kwa South Africa lazima urushwe na ndege juu kisha mnaachiwa na miavuli
kama dagaa,sasa ukishindwa imekula kwako.Lakini mnakuwa well trained.
Hostess sio kugawa chakula tu kwenye ndege
Yangu ni hayo
ndege hizi hizi za nyumbani tu wakina fastjetkwenye ndege zipi,manake twiga mnyonge imebaki stori,paa imefilisika,fj si yetu?hizi za kwenda mbugani ki kawaida hazihitaji labda jaribu kwenda arabuni,lakini halahala......
asante ntaendelea kukomaa hadi kielewekepia ukumbuke face inalipaa???? maana ukiwa zombie kwenye ajira za anga utata kweli
maana kule wanahitajika warembo na watanashati, mwendo wa suruali na shati kisuit kutupiamo kwa sana
mult lingua,iata certification,height nazo ni added advantage
otherwise all the best endelea kukomaa kusaka ajira za anga
Asante sanaBado hujawa na vigezo vya ajira katika nafasi hiyo.
Vyuo vingi wanapenda sana kuwazuga wanafunzi kwamba ukimaliza kozi fulani za IATA basi una uwezo wakupata nafasi kwenye post nyingi za mambo ya Airline upo.
Certificate ya IATA haijawa na uwezo wa kukupenyeza kwenye Post hiyo.
Na ndio maana wengine wanakata mzizi wa Fitna na kwenda South Africa kuna vyuo bora sana vya mambo hayo.Na ukirudi kama kuna nafasi hubaki,ila ni kozi Ngum sana.Au hata pale Dar Airport nasikia wanatoa kozi hizo.Kenya wapo Advanced sana kwenye hili pia
Na utambue Mult - Lingual Staffs yaani wenye kujua lugha zaidi ya moja wana advantage kubwa sana,na ndio maana baadhi ya Airline hazichukui Hostess mwenye Lugha ya Kiingerezea tu,Lazima uwe na ya Ziada.Kuna Madada Pale BA wanapiga hadi lugha nne.
Na kuna mambo mengi sana tofauti na tunavyodhania kwa kusoma kwa nadharia tu,moja kubwa Kwanza Lazima ujue kuogelea,
Sasa umepofeli wewe ni hapa:-
-Cheti hakijakidhi viwango
-Uwezo wako wa Lugha zaidi ya moja ni tatizo
-Mafunzo maalum ya kazi hiyo huna kabisaa,maana IATA hawayatoi,zaidi ya kukutumia yale mavitabu yao telee.
Ushauri:
-Ongeza Lugha,angalau uwe na Kifaransa au Kijerumani,Kispaniola,Kiitaliano,na kichina ni bora kwa soko la sasa.
-Chukua mafunzo maalum,na hii ndio tunasema mwanafunzi lazima ujue kwa undani unachokisomea,na sio juu juu namna hiyo.
-Ukipata muda jifundishe kuogelea,la sivyo utafelishwa,maana hiyo ni miongoni mwa Interview zao.
Kwa South Africa lazima urushwe na ndege juu kisha mnaachiwa na miavuli kama dagaa,sasa ukishindwa imekula kwako.Lakini mnakuwa well trained.
Hostess sio kugawa chakula tu kwenye ndege
Yangu ni hayo
Bado hujawa na vigezo vya ajira katika nafasi hiyo.

HahahaaaaUnajua tatizo ni mfumo wa vyuo vyetu ndo tatizo.
Wapo wakenya ambao wali apply kazi hizo kwenye nchi zanje tofuti na Kenya.
Unajua ili uwe na uhakika wa kudum kwenye hii kazi,mbali na vigezo hapo juu,jamani naomba watu tuelewe hata kama ni ndege za Ndani lugha Zaidi ya kiingereza ni advantage kubwa sana kwenye hii kazi.
Mfano ni ule wa ndege za Oman Air,watu wengi wanashindwa kuomba kwa kukosa Lugha ya Kiarabu,na kwa zile zinazokuja Zanzibar unakuta hadi wale madada wanongea kiswahili,lengi ni ku target Customer kwenye route husika.
Na ndio maana Air hostess hawa hupangwa route maalum kwa makusudio maalum.
Ni Sawa na Ndege za Russia au china ukaweke mtu anaejua kiingereza tu,wakati huko kwao karibia asilimia 40 kiingereza ni tatizo,na hata wanaojua wanaona aibu kuongea kwa kuchapia.
Ukisema ni kwa ajili ya ndege za ndani,basi hapo pia ujiandae na ushindani wa soko la ajira,wapo wenzio wanakuja na advantages hizo kisha wanachukua nafasi yako huku wewe ukizubaa.
Mfano ni kama pale Alliance Franceeeee,waliosoma miaka ya 90s walipa ajira kibaa,na taasisi ile iliwapa watu michongo tele kwa kuwa soko lilikuwa kubwa sana,na wengine waliajiriwa bila hata na kuwa na vigezo vya maana ila kigezo muhim cha Lugha kiliwabeba.
Pai Fuatilia wale ma Miss world,kuna baadhi yao wapo wanaongea Lugha hadi tatu hadi nne,na wakitoka pale makampuni kibao yanawachukua kama mabalozi wao,sie tunapeleka wenye kujua Kiingereza tu.Ndio maana mwisho wa siku tunaishia mabalozi wa humu humu nchini,mara balozi wa Fistula,Mara Balozi wa Wajane,Balozi wa Wapiga Punyeto,balaa tupu.
Kwa ufupi ni kujipanga,hii kazi inalipa ile mbaya kama ukijipanga kwenye soko la kimataifa
Picha tafadhaliEti jamani naomba msaada mnishauri..Natafuta kazi ya air hostess ntapataje nimejaribu kutums maombi kimya sijibiwi najaribu kucheki mtandaoni kama kuna matangazo yoyote sioni.am so desperate right now i really need a job what should i do help please.