Nilikuwa naelekea nyumbani, njiani nikakuta kundi lenye wazee (watu wa makamo) kama watatu hivi na vijana kama 20+ hivi. Kisa cha mkusanyiko huo ilikuwa ni hadaa iliyozuka baada ya jamaa fulani kukamatwa kwa sababu ya kufumaniwa na mke wa mtu. Mie nikaamua kusimama kidogo nisikie kulikoni!
Kwa mujibu wa maelezo, ni kwamba huyo jamaa amepigwa sana, halafu amechukuliwa na kundi la watu na kutokomezwa kusikojulikana.
Sasa mzee mmoja alikuwa akioongea kwa jazba na Munkari wa hali ya juu, kwamba huyo dawa yake ilikuwa ni kumpachika nyonyo na mattako makubwa au K usoni, mpaka akome. Maongezi yake ndiyo yalifanya vijana wakae hapo na kuendelea kumsikiliza.
Nilimtoa kijana mmoja pembeni kidogo na kumwuuliza kwa kumuuma sikio kwamba huyo mzee ni nani?
Ndipo aliponiambia kwamba huyo mzee ni Msukuma, na ni alwatani wa hiyo sehemu, halafu ana mke, mtoto mdogo, mbichi, mrembo; lakini dah, hakuna mtu anathubutu kumtongoza, maana mzee inaaminika ana teknolojia ya "kudeform human bodies" (kwa kiswahili).
Nilimwuuliza yule jamaa, sio kwamba anawachimba mkwara ili msimkaribie mke wake kwa sababu ni mrembo na anajua mtakuwa mnamendea hasa nyie vijana?
Jamaa alinijibu "Huyu mzee haaminiki, sidhani kama kuna mtu ana ujasiri wa kumtokea mke wake, mie hata nimkute mke wake amekaa uchi simgusi"
Huyo mzee nilisikia mkwara wake kidogo, kama kwa dk 5 hivi, nikasepa. Ila kwa jinsi vijana walivyokuwa watulivu na wenye adabu kwa kumsikiliza, duh, inawezekana kweli mzee huyo ana hiyo teknolojia adimu.
Baada ya kufikiria kidogo, nimeshawishika kwa kiasi fulani kwamba huenda kuna watu wana uwezo wa kuwabadilisha watu morphologically. Kama huyu jamaa (picha chini) aliweza kuoteshwa nyonyo na watu walishuhudia, basi yawezekana kabisa.
Lakini kwa upande mwingine, hawa wazee nao ni washenzi, kama kweli wana huo uwezo kwa nini wasisaidie watu waache kuibiwa wake zao kila kukicha?