kazi kwelikweli

kazi kwelikweli

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
11008413_352433638274992_6685913289214807302_n.jpg
 
Na kweli! Sasa sijui nia yake nini mana hata akiiweka humo bado ladha ni ile ile.
 
Lengo lake hata akiwa ndani ya daladala watu watafikiri anakunywa juice kumbe Ni pombe
 
Anampelekea mgonjwa wake Wodini. Mgonjwa ameambiwa asitumie pombe na dawa. Si wajua tena gear za Dr? Tutakunywa sana kwani ni muhimu Dawa kumeswa na maji mengine pia.
 
kaogopa kutoka na chupa za watu kaona aweke kwenye box takeaway sherehe imekwisha!
 
Hakuna Starehe hapo. Ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom