Baby shangazi
Member
- Mar 24, 2012
- 64
- 8
Mume: kila kukicha afadhali ya jana, mke wangu nawe umepoooooza!
Mke: sasa nichangamke vip jaman?
Mume: Hali ya maisha ngumu, yaan makamo hayo mke wangu huna hata kibuzi cha kukichuna chuna?
Mke: sasa nichangamke vip jaman?
Mume: Hali ya maisha ngumu, yaan makamo hayo mke wangu huna hata kibuzi cha kukichuna chuna?