Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,325
Mtoto karudi kutoka shule, kamkuta baba ake kakaa kwenye baraza ya nyumba yao, mtoto akamuuliza baba yake Mtoto: baba botswana iko wapi? Baba: kaangalie kabatini
Mzee kalikimbia DarasaAhahaha noma sana
ukhuty: kijijini Call me JTeh teh bashite huyo bab
Ni sheeedaaa mkuuHuyo baba kilaaza wa bara.
Hatari tupu watu wamevurugwa na maisha.Ukiona hivyo ujue mzee anaisoma namba kimya kimya
Amevurugwa kweli kweli dogo akiuliza lingine anaweza kuzinduka yuko ICU