Kazi kweli ipo hapa jamani............

Huyo jamaa akitoka hapo na kumuona aliyemfanya hivi huyo dogo ni lazima na yeye aue,labda awe na damu ya mende ndio ataogopa.
Nalog off
 
Hapa zinawekwa pcha za wapalestina tu eehh...mwe mi sionei mtu huruma..unamchokoza mwenzio akikutandika unalia unataka uhurumiwe
 
MziziMkavu kwa hali ya picha ya pili ilivyo amani kupatikana itakuwa vigumu sana,Mungu awafanyie wepesi nguvu za binadamu hazitoleta muafaka chanya
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…