Kazi kwa vitendo

Kazi kwa vitendo

kalikumutima

Senior Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
147
Reaction score
47
Juzi niliwaaga wadau nakwenda kula Pasaka na wapiga kura wangu.Nilifika salama na leo kama unavyoona kwenye picha nimeshiriki katika kujengea kisima cha maji ya kunywa ili yawe ktk hali safi na salama na kesho Alhamis kuu nitakutana na viongozi wa dini za kikristu na Ijumaa na viongozi wa dini ya kiislam ili kuzungumzia ktk kukomesha mauaji ya Albino.

Kazi vitendo.jpg
 
모쇼只凹웃凸目壘ㆄ自유
 
Halafu kwenye kampeni utasema umewaletea maji!! Kwa kweli mimi nilidhani choo
 
Back
Top Bottom