Kazi Kupata Kazi

Kazi Kupata Kazi

Earthworker

Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
83
Reaction score
30
Ukiona suala la kupata kazi ya kuajiriwa ni gumu kheri kuwa mteja wa tra tu! Maana dah mtaani pagumu!!
 
Unakuwaje mteja wa TRA Earthworker hebu nieleweshe sjakusoma na unapataje kiipato ukiwa mteja maana nami ni muhanga natafuta kazi mwaka wa3 sasa.
 
Namaanisha uwe mfanyabiashara tu, may be unaweza kupata kitu japo nao wanakamua kidizain
 
It is not necessary all of us to get involved in entrepreneurship... :frusty:
 
Back
Top Bottom