Kazi kiwanda cha NIDA Tabata TOT

Kazi kiwanda cha NIDA Tabata TOT

Ndo mda wao wa kutoka ama kuingia viwandani. hamna anayesubiri kufanyiwa usaili pale, wote vibarua na wanajulikana.

kama mtu atahitaji kazi lazma afate process.
 
Bora umepita. 😂😂😂😂. Wale tayari wameshakunywa maji ya timu liwalo na liwe sio usahili .
 
Nenda pale na wewe simama maana pale kuna vibarua "permanet" na vubarua wa kila siku Hao "Permanet" kila mmoja anachagua wa kupiga nao kazi kwa siku hiyo
 
Back
Top Bottom