Kazi katika hotel ya kimarekani

saaafi saana maana jamaa amekula za uso mpaka katokomea.

Nani k.o.jo.a hii Nyang'au ?
 
Vipi Panju amefikia rank gani ya u Freemason?

Tatizo la Subway wafanyakazi wao hawawapi lunch wanawaacha wakale kwa mama ntilie Panju arekebishe hilo tatizo... inasikitisha kuwaona wafanyakazi wa food chain nzuri wanakula cheap food ambazo si safe kwa afya.... Nadhani pnju analipa mshahara mdogo sana... atabadilisha wafanyakazi wengi sana akijiona anapata faida huku dhambi zake zikiongezeka

Hii ni franchise, mdosi anabana sana matumizi ili aweze kulipia jina la Subway na abaki na faida!!! Sijui kama ingekuwa ni ww ungefanyaje? Wafanya biashara wengi hapa nchini wanawapunja na kuwabana sana wafanyakazi wao ili wao wabakie na faida kubwa
 
Uko na matatizo wewe!!!!.toka kwa hii thread na ujifunze kuheshimu binadamu.
wewe braza ndio unamatatizo we hapa Jf Wanakuja watu intellectual kutafuta kazi sasa unapoweka tangazo weka kama mtu unaejielewa sio kazi kama unatafuta vibarua wa kubeba zege kwenye site yako unayojenga hebu kua serious kidogo thats why watu wanakukebehi cos hilo sio tangazo la kazi halikizi hata minimum vigezo vya tangazo la kazi, please hebu weka tangazo ambalo kidogo linajielewa.na linajielewa vizuri watu watakuelewa na watakushukuru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom