Kazi ina maslahi makubwa, posho za kutosha, vigezo ni vyeti vya chuo ila hata Darasa la 7 anaweza kuifanya

BM X6

JF-Expert Member
Nov 24, 2020
1,360
4,149
Hello Wazito hope wote ni wazima...

Jana bhana katika story za hapa na pale na rafiki yake blaza ametokea mbeya amekuja Dar likizo akawa ananikumbushia hustle walizopitia kipindi hicho na Kaka yangu kabla hawaja pata kazi za kueleweka,

Kaka yangu na rafiki yake chuo walichukua Bachelor of Arts with Education (BAEd) Kazi anayoifanya blaza angu inafanana na alichokisomea yani ni mwalimu, huyu rakifi yake sasa ndio anafanya kazi tofauti na alichokisomea, Sasa huyu bro jana (rafk yake bro angu) akawa ananiambia "Mdogo wangu hadi utoboe kwenye haya maisha yanahitaji kujituma na uvumilivu wa hali ya juu sana pamoja na kuishi na watu vizuri, pia kubaliana na chochote kile kinachotokea kwenye maisha yako, haya maisha yanaweza kukupeleka sehemu ambayo hata hukuiwazia na ikawa ina neema kuliko Ile uliyoiwazia" aliendelea kunambia "kwanza kama sio kaka yako Mimi nisingekua hapa Leo yani nafasi niliyopo alitakiwa kuichukua kaka yako lakini aliikataa na kuniconnect Mimi, sikufichi mdogo wangu hii kazi ninayofanya ina maslahi makubwa na posho za kutosha, Yani kama vigezo sio vyeti basi hata mtu aliyeishia Darasa la Saba anaweza elekezwa na akaifanya vizuri tu, twenzetu tukapark gari kwanza naona bro ako ni kama harudi leo" mwisho wa kunukuu, Honestly, maelezo ya huyu rafiki yake na bro yalinisisimua sana

Ukiangalia maisha ya hawa watu wawili, Blaza angu ameachwa hatua nyingi sana, Kaka yangu mm kikubwa anachomiliki ni kiwanja na Toyota IST, rafiki yake Sasa ana gari mbili Toyota IST na Crown athlete na nyumba mbili moja ipo Dar nyingine ipo huko huko mbeya anapofanyia Kazi pamoja na kiwanja, in short Sasa hivi jamaa anakula mema ya nchi kiasi kwamba najiuliza ilikuaje bro akaiachilia hii nafasi, Cha ajabu ni kwamba bro anasema hata ikitokea nafasi nyingine bado atam recommend mtu mwingne badala yake

Sasa kilichofanya nianzishe Uzi huu ni kutaka kujua ni kazi gani ambazo kama sio vyeti vya shule basi hata mtu aliyeishia Darasa la Saba anaweza kuifanya vizuri tu kwa maelezo, Najua kuwa wengine humu ndio mnazozifanya hizo kazi ebu tuelezeeni hapa pamoja na changamoto zake.
 
Sasa ulishindwa nini kumuuliza huyo aliyekupa hiyo story?Anyway njoo PM chap
 
Huyo jamaa alikwambia hiyo kazi yake iliyomfanikisha ni ipi?

Maisha sio rahisi kihivyo, wewe unasimuliwa na mtu habari za mafanikio yake halafu hapo hapo unaamini kuwa ni kweli.

Mara nyingi ni fix tu. Huyo jamaa huenda anakupanga ili akutapeli, akukope au akupige mzinga. Mjini hapa ndugu.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Watu wengine kama washirikina vile yahani mtu upo naye wewe umeshindwa kumuuliza iyo kazi unakuja jf eti wakusaidie
 
  • Thanks
Reactions: _ID
watu wengine kama washirikina vile yahani mtu upo naye wewe umeshindwa kumuuliza iyo kazi unakuja jf eti wakusaidie
Sio kwamba sijui kazi anayoifanya huyo bro, ila nataka tu kujua na aina zingine za kazi kama zipo na watu wanafanya au ni yeye tu bro alibahatisha kuipata hiyo kazi.....hicho ndio kitu nachotaka kujua
 
Hello Wazito hope wote ni wazima...

Jana bhana katika story za hapa na pale na rafiki yake blaza ametokea mbeya amekuja Dar likizo akawa ananikumbushia hustle walizopitia kipindi hicho na Kaka yangu kabla hawaja pata kazi za kueleweka,

Kaka yangu na rafiki yake chuo walichukua Bachelor of Arts with Education (BAEd) Kazi anayoifanya blaza angu inafanana na alichokisomea yani ni mwalimu, huyu rakifi yake sasa ndio anafanya kazi tofauti na alichokisomea, Sasa huyu bro jana (rafk yake bro angu) akawa ananiambia "Mdogo wangu hadi utoboe kwenye haya maisha yanahitaji kujituma na uvumilivu wa hali ya juu sana pamoja na kuishi na watu vizuri, pia kubaliana na chochote kile kinachotokea kwenye maisha yako, haya maisha yanaweza kukupeleka sehemu ambayo hata hukuiwazia na ikawa ina neema kuliko Ile uliyoiwazia" aliendelea kunambia "kwanza kama sio kaka yako Mimi nisingekua hapa Leo yani nafasi niliyopo alitakiwa kuichukua kaka yako lakini aliikataa na kuniconnect Mimi, sikufichi mdogo wangu hii kazi ninayofanya ina maslahi makubwa na posho za kutosha, Yani kama vigezo sio vyeti basi hata mtu aliyeishia Darasa la Saba anaweza elekezwa na akaifanya vizuri tu, twenzetu tukapark gari kwanza naona bro ako ni kama harudi leo" mwisho wa kunukuu, Honestly, maelezo ya huyu rafiki yake na bro yalinisisimua sana

Ukiangalia maisha ya hawa watu wawili, Blaza angu ameachwa hatua nyingi sana, Kaka yangu mm kikubwa anachomiliki ni kiwanja na Toyota IST, rafiki yake Sasa ana gari mbili Toyota IST na Crown athlete na nyumba mbili moja ipo Dar nyingine ipo huko huko mbeya anapofanyia Kazi pamoja na kiwanja, in short Sasa hivi jamaa anakula mema ya nchi kiasi kwamba najiuliza ilikuaje bro akaiachilia hii nafasi, Cha ajabu ni kwamba bro anasema hata ikitokea nafasi nyingine bado atam recommend mtu mwingne badala yake

Sasa kilichofanya nianzishe Uzi huu ni kutaka kujua ni kazi gani ambazo kama sio vyeti vya shule basi hata mtu aliyeishia Darasa la Saba anaweza kuifanya vizuri tu kwa maelezo, Najua kuwa wengine humu ndio mnazozifanya hizo kazi ebu tuelezeeni hapa pamoja na changamoto zake.
Clearing and forwarding, welding, makenika, driving, super viser, messenger, chawa, sales man etc hizo kwa uchache tu zipo lukuki.
 
Sio kwamba sijui kazi anayoifanya huyo bro, ila nataka tu kujua na aina zingine za kazi kama zipo na watu wanafanya au ni yeye tu bro alibahatisha kuipata hiyo kazi.....hicho ndio kitu nachotaka kujua
Anza kwanza ww kutuambia huyo jamaa anafanya kazi gan, yan ww umetuficha kaz alokwambia anafanya lakn unataka sisi tukuambie kaz znazoendana na hyo sth is wrong with u
 
Charlie bad sanaa kwahyo wew unaamini mtu akiwa na vyet vya darasani ndio kuw na mafanikio kweny maisha na kuto kuw na vyeti vya darasani ni kufailure kimaisha
 
Kuna mbunge sijui jimbo gani mwanza yeye kazi na hoja zake ni kuongelea cv za wenzake tu,,utaskia "huyu profesa huyu hapa alisoma kwa tabu sana tena hata form four alisumbuka kupata cheti lakini leo ni profesa"Mara huyu cjui yule hana cha msingi anacho changia sio maoni wala hoja au swali la nyongeza.Basi ndio mfano wa huyo mlete uzi yeye kaona crown athlete na Ist ndio kuongelea.
 
"siasa" hii kazi hata kama uliishia la nne B pale mabatini shule ya msingi, still itakulipa madonge nono mengi.

unacheza na urefu wa kamba tu
 
Back
Top Bottom