Kazi idara ya uhamiaji, police, magereza na JWTZ zitatangazwa lini?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wakubwa,nikiwa ni mmoja wa wahanga wa loans board,pamoja na kadivision kangu kazuri niliko nako,nimeamua kujitafutia ajira huko kwenye hayo majeshi yetu,bora nikawe mlinzi wenu pamoja na mali zenu tu.tafadhalini sana kwa yeyote atakae sikia au kuona nafasi za kazi zinazohusiana na hapo juu asisite kunijuza at joel9060@yahoo.com.asanten sana
 
hata mimi nahitaji kwa ajili ya binti yangu anapenda maeneo hayo; naomba ushauri zaidi.
 
Wakubwa,nikiwa ni mmoja wa wahanga wa loans board,pamoja na kadivision kangu kazuri niliko nako,nimeamua kujitafutia ajira huko kwenye hayo majeshi yetu,bora nikawe mlinzi wenu pamoja na mali zenu tu.tafadhalini sana kwa yeyote atakae sikia au kuona nafasi za kazi zinazohusiana na hapo juu asisite kunijuza at joel9060@yahoo.com.asanten sana
Dodo wala usipate wasiwasi wajeda wamejaa humu ndani na wanaJF ni ndugu wakijua watakujuza fasta.
 
Wakati unasubiri ajira panga mikakati ya kujiajiri iwapo utakosa ajira....
 
Yeye bado, ndo amemaliza shule
nataka ikiwezekana asogee huko then atafute chuo akiwa huko huko.

ukishaingia huko kutoka a-level/o-level nafasi ya kuendelea na masomo ni ndogo sana na utanyayasika mpk... kuna watu ninaowafahamu waliingia huko miaka 7 iliyopita wakiwa div 1 a-level mpk leo hii wanasota hawajapelekwa chuo kama walivyoahidiwa mna wala hakuna dalili, mwache binti asome kwanza ataingia huko akishamaliza chuo
 
Asanteni kwa ushauri,
kweli namwacha asome some zaidi ndo aje huko,
kila la kheri wakuu wangu.
 
duh,kwa hiyo walio katika majeshi hayo ni wahanga wa loan board?nawajua wengine darasa la saba
 
Asanteni kwa ushauri,
kweli namwacha asome some zaidi ndo aje huko,
kila la kheri wakuu wangu.

afadhali,mana niliwahi kusikia kuna ngono za kulazimishwa huko mkubwa akitaka ni Amri tu. Ukikataa adhabu haziishi.

Kuna mdau alitoka huko akaniambia kamwe hata kubali ndugu yake wa kike aende huko na sababu ndio hizo.
Mwache binti asome
 
ukitaka kuingia jeshi la uhamiaji ,polisi , magereza ni lazima uanzie jkt ukisha maliza mafunzo ya awali unaweza kubahatika kuajiriwa kwenye jieshi unalotaka
kwani wenyewe wanapeleka idadi ya nafasi wanaotakiwa kuajiriwa huko jkt
 
Umeanza lini huo utaratibu!?
 
Nina mdogo wangu amemaliza darasa la saba. Umri miaka 28. Amesomea NIT Udereva ana class C plain na nyingine nyingine. Anapenda sana kuvaa magwanda ya jeshi. Naomben nami ushauri ktk hili, pia tujuzane nafasi zikitangazwa
 
Hata mimi jaman nahitaj sn lakini mm ni graduate,ila sijaelewa hapo kuhusu jkt ndo inakuwaje kwa intake zao.Nafasi zikitangazwa tujuzane wakuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom