Kazi hii inalipa ndugu

Kazi hii inalipa ndugu

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
Jamani ndugu na maadui

T3.jpg


Kipindi hiki cha masika mi nimejiajiri kufanya hii kazi.
Haihitaji mtaji
Hubughudhiwi na mgambo
TRA hawakusumbui kuhusu risiti
Kwa kweli inalipa unachaji kutokana na uzito wa mtu.
 
Ha ha ha ha, inaelekea bado unanionjea mboga yangu, marfyuku!

Basi namwita HC

He he he, kwenye utulivu(kuwaza na ku-type) nakupa 40% crazy imaginations 60%...lol
Kwasasa najua tu kwamba The Boss hajambo na ana furaha...huyo mwingine sina taarifa zake 🙂
 
Mmmh, hamna kitu kinakuchoma choma mgongoni?
Mie bora nitumie toroli lol

Niko baa fulani napata moja ya kurudia kazini nimecheka sana pekeangu hadi mhudumu akaja kuniuliza vp ni tamu sana nikuongeze nyingine?!!
 
Who is your Prince, if I may ask?

( Utumbo unatentemeka, ujue siku hizi najilia vyangu taratiiibu, nimembeba akakunja miguu hadi raha )
He he he he mwite,haogopwi mtu hapa....niko tayari kwa mapambano....i have to fight hard for MY prince...:ballchain:
 
Kwa kweli ntakusababishia Brain konkasheni.

Am so taken siku hizi, mbona mie huwa namsamehe akikosa? Tena yeye hukosa hadharani
Bora huyo hukosa mkiwa wawili afu anaomba msamaha hadharani, msamehe tu yule bwana hadi kaja kivingine.

he he he heeeeeee.....ur prince is my prince.....lol
 
Back
Top Bottom