Nimepitia websit yao hawa French foreign legion,nikakuta matangazo kwamba wao wana recruit watu kutoka mataifa mbalimbali kwa ajili ya kua askari katika jeshi hilo la kifaransa (LEGIONIERS) katka ofisi zao za ufaransa.
Kitu kizuri nilichogundua ni kwamba wanaajiri watu muda wowote bila kujali sana elimu yako,kwa yoyote mwenye taarifa zaidi juu yao atujue tafadhali.
Naomba kuwasilisha.
Kitu kizuri nilichogundua ni kwamba wanaajiri watu muda wowote bila kujali sana elimu yako,kwa yoyote mwenye taarifa zaidi juu yao atujue tafadhali.
Naomba kuwasilisha.