MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 849
kuna watu washapigiwa leo. alafu mbona nasikia interview ni tano, yani kuna tatu zinakuja
Mimi bado sija pigiwa. Kesho ndio siku ya mwisho kuvuka stage hii ngoja nione kama nita bahatika. Hao walio pigiwa leo wame ambiwaje mkuu?
wameambiwa waende leo j4
Na kesho pia...
dah! masaa yanaenda tu, sipigiw
dah! masaa yanaenda tu, sipigiw
dah! masaa yanaenda tu, sipigiw
Vipi mkuu usha pigiwa?
Ukiona manyoya jua keshaliwa
we ndo umemla nini mkuu, hawa kuku kuwapata ni kazi kweli kweli, tunaishia kushika manyoya tu