Kazi chapChap (Tempo): Kuingiza Taarifa Kwenye Kompyuta

JF Marketer

Member
Jan 3, 2009
80
34
Anahitajika Kijana (Ke/Me) wa kuingiza taarifa kwenye Kompyuta. Awe anajua kutumia Kompyuta, awe na spidi ya kuridhisha katika kuandika, awe makini na nadhifu katika kazi.

Muombaji atakayefanikiwa atapewa vitendea kazi na atafanya kazi husika ndani ya ofisi kwa muda wa kawaida wa kazi i.e kuanzia saa 2:00 asubuhi mpaka saa 9:00 Jioni kwa kipindi kifupi cha Kibarua.

Mwenye sifa awasiliane na Al Haj Salehe Mob: 0753-749459

Malipo: MAELEWANO

Angalizo: Kazi hii inawezekana kwa muombaji ambaye ni mkazi wa Dar es Salaam.

UPDATES:
Nimearifiwa kuwa zoezi limekamilika kwa mafanikio. Tayari amepatikana mtu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom