IronBroom JF-Expert Member Jun 12, 2008 521 36 May 25, 2010 #1 File attached.Kila la kheri kwa mwenye sifa. Attachments JOB_ADVERT_APRIL_2010.pdf 123.9 KB · Views: 438
Gamaha JF-Expert Member Jul 17, 2008 3,815 4,861 May 25, 2010 #3 dada Rehema gwa kukaja umeweka hapa barua hii kama draft ili watu waweke comments au ndo unaomba kazi
dada Rehema gwa kukaja umeweka hapa barua hii kama draft ili watu waweke comments au ndo unaomba kazi
Mama Brian JF-Expert Member Feb 7, 2010 320 21 May 25, 2010 #4 Teh teh! au mtu kandika tu ili kuchekesha watu humu jamani, asante IronBroom kwa taarifa.
hope 2 Senior Member Apr 28, 2010 154 7 May 25, 2010 #5 Da! Huyu kachemka vibaya hadi namwonea huruma. hapo ndio kaomba kaweka barua na vyeti tayari., kazi kweli kweli
Da! Huyu kachemka vibaya hadi namwonea huruma. hapo ndio kaomba kaweka barua na vyeti tayari., kazi kweli kweli
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Jul 3, 2007 5,520 2,091 May 25, 2010 #6 NDIGWAKO waweza kudelete post yako... Duh hii ni kali ya mwaka...
Miwani Senior Member Feb 25, 2008 180 11 May 25, 2010 #7 HR BOT msaidieni huyo dada, yuko serious jamanai
hope 2 Senior Member Apr 28, 2010 154 7 May 25, 2010 #8 Mpigieni Simu namba yake si iko hapo kwenye CV yake. Mpeni maelekezo sahihi, si mnaona tarehe yake ya kujiunga jamani.............
Mpigieni Simu namba yake si iko hapo kwenye CV yake. Mpeni maelekezo sahihi, si mnaona tarehe yake ya kujiunga jamani.............
IronBroom JF-Expert Member Jun 12, 2008 521 36 May 25, 2010 Thread starter #9 D5 said: Applications must be addressed to: Deputy Governor (AIC), Bank of Tanzania, P. O. Box 2939, Dar es Salaam. Click to expand... Mkuu itakuwa poa sana kama uta-edit post yako na kuondoa hiyo barua.
D5 said: Applications must be addressed to: Deputy Governor (AIC), Bank of Tanzania, P. O. Box 2939, Dar es Salaam. Click to expand... Mkuu itakuwa poa sana kama uta-edit post yako na kuondoa hiyo barua.
MNDEE JF-Expert Member Jul 10, 2009 491 68 May 26, 2010 #10 Kama barua yenyewe ndio hii kupata kazi ni mgogoro!
saitama_kein JF-Expert Member Oct 29, 2009 981 99 May 26, 2010 #13 Kazi ngumu jamani...ndiyo kujitokeza huko!!