Kazi anayofanya jiwe!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,404
masoudkipanya_B0C0FE0D0uT.jpeg
 
1563428915114.png


Wewe Masoud we mwana usije mie mzazi wako ukaniachia majanga kwa kupotezwa na hii Timu ya WASIOJULIKANA...!!!
Ulichoki chora hapa ni matusi kabisa kwa Mwenyekiti Jiwe wa Chama hichi cha Mifisi. Unajua ulivoweka hizi alama za Bendera yao zina maana hii:
  1. CCM siyo chama tena cha Wakulima na Wafanyakazi.
  2. Nyundo iliyokuwa inawakilisha WAFANYAKAZI imeng'olewa kabisa kweye mpini wake na kuhamishiwa mpini mwingine nako ikageuzwa kichwa chini miguu juu( Badala ya kupiga kazi inabomoa kazi au kung'oa misumari).
  3. Jembe linalowakilisha WAKULIMA ingawa liko kwenye mpini limegeuzwa nyuma mbele hivo hakuna KILIMO wala MKULIMA hapo.(Rejea sakata la Koro-show na kinachoendelea kwenye Pamba na Tumbaku huko kanda ya Ziwa.
  4. Maneno: CHAMA CHA MAPINDUZI kwenye mkanda wa manjano hayapo tena kwa maana hiyo CCM ni kwishne.
Onyo: Be aware of the UNIDENTIFIED MEN....!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom