kazi/ajira gan atafanya mtu aliesoma Public Administration..?

camber og

Member
May 12, 2019
7
1
wana Jf masada tafadhari. naombeni kujuzwa juu ya ajira ya mtu aliesoma kozi ya Utawala (Public Administration) msaada tafadhari..
 
mkuu natakiwa ñikasome hiyo kozi na ctambui ajira zake n zip msaada tafadhari
 
mkuu natakiwa ñikasome hiyo kozi na ctambui ajira zake n zip msaada tafadhari
Samahani lakini, utapata taabu saana! mpaka utapo elewa kwanini unataka kusoma. maana yangu fupi tu unatakiwa uwe na mindset ya kuelimika na sio kazi maana PRO can do multiple tasks.
 
Kasome dogo ni nzuri hiyo kozi tena nenda ya pale Mzumbe ndio inaheshimka.

Public administration ni kozi kiraka yani hakuna shirika au taasisi yeyote ile dunian ambayo public admministrator atakosekana.
Asante. sana mkuu
 
Ni kozi nzuri unaweza soma ila jiandae psychological kusugua benchi mtaani miaka kadhaa, ila ukila shavu utaifurahia mnooooo.
 
Back
Top Bottom