Kazaa software pc kwa wale walionza tumia internet 2001

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,709
leo baada ya kupekua vitabu vyangu na kutana na software ambayo nilikuwa mmoja wa watu waliotumia miaka hiyo.

kazaa ilianza kutumika miaka ya 2001 baada ya ugunduzi mkubwa wa mfumo wa P2P.

hii system ilisaidia kushare chochote na kupakua chochote kabla ya mfumo wa leo watoto wanaita torrent.

teknolojia hii ilikuja kuwa na watumiaji wengi kuliko kifaa cha kiperuzi chochote kwenye mfumo wa kompyuta kwa sababu kiliweza kupakua chochote na hata ukizima kinaendelea.

natafakari leo yapata miaka 20 sasa nikiona system nyingi zikiwa mfano wa kazaa

IMG_2617.jpg


hii
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom