Kazaa na mwanaume mwingine hataki nimuoe

Kazaa na mwanaume mwingine hataki nimuoe

Piga chini kijana bado mbichi limama linanuka mtindi Wa mtoto Wa mumume mwenzio unaoa haihitaji diploma kuchanganua

mbona maneno makali we ukifariki ukamuacha mkeo na mtoto ungependa asemwe hivyo.maaana inaonekana concern yako sio tabia ya mke/wa muomba ushauri we unaangalia kuwa mtoto.
 
Hili nalo unahitaji ushauri?... Inamaana ww ni UNICEF?
kama umeshindwa kufanya uamuzi wa kiume kwa jambo kama hili je utaweza kuhimili mikiki ya ndoa?
 
Usiishi kwa huruma. Ukimkubalia atakuburuza kwa vingi tu.
 
Kuna thread humu Jamii Forums jamaa alimuoa mwanamke aliyekwisha zaa kijijini kwao na akaacha mtoto hukohuko
sasa alipougua Mume akamsindikia kwenda kumuuguza mtoto huyo wa kufikiawakamkuta mtoto mgonjwa, akaja Baba aliyemzaa mtoto na kufika usiku

Akaambiwa ni lazima wazazi wa mtoto walale chumba kimoja ili mtoto akipandisha mashetani / homa usiku wamtibie
Mwenye mke aliyemuoa akapelekwa nyumba ya mbali na mkewe asubuhi kwenda chungulia akamkuta mkewe na mzazi mwenzie kitanda kimoja usingizini wamechoka, akaamua karudi.

Sasa wewe unataka yakukute
 
Duuuh! napata shida sana kwa kuanzia, wewe moyo wako unakuambiaje juu yake?
 
Pole sana hayo matatizo mimi yalinikuta nilipenda demu akanizingua akaenda kuishi na mwanaume mwingine alivyopata mimba mwanaume akamfukuza.akaenda kujifungua huko kijijini kwao akawa anateseka ananiomba nimrudie nkamwambia haitawezakana kwani Mimi nimeshampata anayependa basi huwa namsaidia pesa kidogo akiwa na shida .ushauri wangu kwako kama unampenda muoe tuu tunza mtoto Mungu atakubariki.
 
Mambo mengine hayahitaji ushauri ila yanahitaji maamuzi unachotakiwa ni kufanya maamuzi sahihi kama yeye aliamua kukuacha akaenda kuzaa na mtu mwingine kazima na wewe umwonyeshe kuwa vilevile huwezi kuwa na mahusiano na mtu aliyezaa na mtu mwingine vinginevyo atakuja kukusumbua kwa sababu anajua huwezi kufanya maamuzi yanapokuja kwenye maswala mazito
 
Unampenda ndo maana umekuja kuomba ushauri nenda akakufanyie kituko kingine urudi hapa. Ila kwa mwerevu angetupa kule kusengekua na aja ya kuja hapa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Huyo anatafuta pakujiegesha ili apate fursa ya kutafuta mwingine,zinduka aisee.Kumbuka kosea kujenga lakini sio kuoa.
 
Huyo dada hata ukiwa nayee si kwamba atakupenda wewe inaonekana anampendaa saana huyo kijana hadi ifikie kipind anampa mimba duuuu hapo ukiingia tuu imekula kwako hapo ni full stress nakusihi achana naye huyooo utajuta yaliyomkuta pwagu na pwaguzi katika swala la mahusiano hamna kitu kibaya kama kukosea mke au mume yaaan hapoo unaweza ukawa kama yanayo wakuta wenginee
 
Chukua chombo hicho mahari hudaiwi tena ila bdae usije lalamika hpa kua mzazi mwenzie anawasiliana nae
 
Evelyn Salt

Acha kijana afaudu huo mzigo hauna vat c tayari kashazaa,cku hizi wanaume wamekwisha wamebaki wavulana mambo y mpnz cjawahi omba ushauri unakuta jibaba zima linaomba ushauri hpa sasa m2 wa hvyo unamweka wapi mwanaume au mvulana
 
Last edited by a moderator:
Duh.. Hii ngumu kumeza aiseeee.. Dont take her back.
 
Hapo ndugu kuna majibu mawili, aidha umkatae au uwe naye... believe me siku zote mtu akishindwa kumkataa mpenzi akabaki kuomba ushauri inamaanisha anampenda na atakuwa naye regardless ameshauriwa nini,...ndugu yangu, we muoe tu. I know thats what u want to hear!!!!!
 
Back
Top Bottom