KAYA RADIO FM - Bagamoyo

KAYA RADIO FM - Bagamoyo

Nellyonjolo1

Senior Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
120
Reaction score
39
Kuna tangazo kwa umma kwenye daily news, the guardian la 22 Feb kutoka TCRA, kuhusu maombi ya mwanaharakati Marie Shaba (0784-265315) yakuanzisha kituo cha Radio Kaya FM. Unakaribishwa kutoa maoni kama Wilaya ya Bagamoyo ina stahili kua na chombo hiki. Kama una swali wasiliana kwa namba husika hapo juu. Tuma maoni yako kabla ya tar 7 March kwa DG, TCRA, Box 474 Dsm au dg@tcra.go.tz.

Karibuni!
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Kwa mujibu Wa Sheria na Kanuni zake, inawajibika kuuarifu umma kusudio la mtu kuanzisha huduma ya Mawasiliano nchini.

Wajibu huu ni kuupa umma fursa ya kusema kwa nini mhusika asipewe au apewe leseni ikiwa yapo mambo yanayomfanya mhsika kukosa sifa za kupewa leseni.

Angalia hapa kuona utaratibu mzima Wa maombi ya leseni http://www.tcra.go.tz/licensing/procedure_processes.php. Angalia namba 6 Na 7.
 
nadhani wanastahili kuwa na radio yao kwani Bagamoyo ni sehemu inayokuwa kwa kasi sasa
 
Kuna tangazo kwa umma kwenye daily news, the guardian la 22 Feb kutoka TCRA, kuhusu maombi ya mwanaharakati Marie Shaba (0784-265315) yakuanzisha kituo cha Radio Kaya FM. Unakaribishwa kutoa maoni kama Wilaya ya Bagamoyo ina stahili kua na chombo hiki. Kama una swali wasiliana kwa namba husika hapo juu. Tuma maoni yako kabla ya tar 7 March kwa DG, TCRA, Box 474 Dsm au dg@tcra.go.tz.

Karibuni!
Kwani ni lazima anayetaka kufungua kituo cha radio/tv serikali iombe maoni ya wananchi?
Ata mimi nataka kufungua kituo cha radio 'manzese uwanja wa fisi'nipe mwongozo!
 
Mkuu wakati mwengine chukulia jambo ktk mtazamo tofauti. Unapotaka kufungua chombo cha habari lengo lako ni nini? kama linawahusu wananchi kwa ujumla lazima ulitimize kupitia maoni au mtazamo wa walengwa husika.

Hata hivyo tunashukuru kwa mchango wako
 
Ok nimekuelewa!
Nina mpango wa kufungua radio/tv miaka michache ijayo.
Lengo la kufungua ni kua kibiashara zaidi.
Nipe mwongozo hapo mkuu!
 
Nafikiri TCRA wana utaratibu huo kuomba wananchi kama wana pingamizi juu ya hilo!Maria Shaba amepapenda sana Bagamoyo,kuna wakati alihamishia ofisi zake kule akiwa rais wa NGO Tanzania alikuwa anafanyia kutokea Bagamoyo!

Nina wasiwasi sana na wazawa (kuna hiyo kitu) usishangae ukasikia Riz1 ametuma watu (kama TFF walivyofanya fitna--Agape Fue kuweka pingamizi)nae watamuwekea pingamizi utasikia tu,kesho yake Riz1 na washirika wake wataanzisha yao haraka sana hata kama hawakuwa na lengo hilo,ili lengo lao wa kuja asiwekeze Bagamoyo!

Heri awekeze mhindi au mwarabu au mzungu ila si mbantu mwenzao....ngoja tusubiri utasikia tu anapingwa!
 
Ok nimekuelewa!
Nina mpango wa kufungua radio/tv miaka michache ijayo.
Lengo la kufungua ni kua kibiashara zaidi.
Nipe mwongozo hapo mkuu!

Mkuu watafute hawa jamaa www.radiotz.com watakushauri vizuri sana na gharama zoote na wapi frequency zinapatikana kwa sasa...na biashara inawezekana wapi kwa sasa!
 
Thanks mkuu ngoja nicheki!
 
Hivi hawa TCRA bado wapo na kama wapo impact yao ni ipi? Maana Isije ikawa serikali imewatafutia watu sehemu ya kuvuta mshiko!
 
Itakua poa sana na Bagamoyo nayo ikiwa na kituo cha redio. Nafikiri walikua wanakihitaji kwa mda mrefu sana. Nawatakia Mafanikio mema.
 
Nafikiri TCRA wana utaratibu huo kuomba wananchi kama wana pingamizi juu ya hilo!Maria Shaba amepapenda sana Bagamoyo,kuna wakati alihamishia ofisi zake kule akiwa rais wa NGO Tanzania alikuwa anafanyia kutokea Bagamoyo!nina wasiwasi sana na wazawa (kuna hiyo kitu) usishangae ukasikia Riz1 ametuma watu (kama TFF walivyofanya fitna--Agape Fue kuweka pingamizi)nae watamuwekea pingamizi utasikia tu,kesho yake Riz1 na washirika wake wataanzisha yao haraka sana hata kama hawakuwa na lengo hilo,ili lengo lao wa kuja asiwekeze Bagamoyo!heri awekeze mhindi au mwarabu au mzungu ila si mbantu mwenzao....ngoja tusubiri utasikia tu anapingwa!
Akinyimwa aende mahakamani amuweke ex wake kama wakili wake
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Kwa mujibu Wa Sheria na Kanuni zake, inawajibika kuuarifu umma kusudio la mtu kuanzisha huduma ya Mawasiliano nchini.

Wajibu huu ni kuupa umma fursa ya kusema kwa nini mhusika asipewe au apewe leseni ikiwa yapo mambo yanayomfanya mhsika kukosa sifa za kupewa leseni.

Angalia hapa kuona utaratibu mzima Wa maombi ya leseni http://www.tcra.go.tz/licensing/procedure_processes.php. Angalia namba 6 Na 7.
 
Nafikiri TCRA wana utaratibu huo kuomba wananchi kama wana pingamizi juu ya hilo!Maria Shaba amepapenda sana Bagamoyo,kuna wakati alihamishia ofisi zake kule akiwa rais wa NGO Tanzania alikuwa anafanyia kutokea Bagamoyo!

Nina wasiwasi sana na wazawa (kuna hiyo kitu) usishangae ukasikia Riz1 ametuma watu (kama TFF walivyofanya fitna--Agape Fue kuweka pingamizi)nae watamuwekea pingamizi utasikia tu,kesho yake Riz1 na washirika wake wataanzisha yao haraka sana hata kama hawakuwa na lengo hilo,ili lengo lao wa kuja asiwekeze Bagamoyo!

Heri awekeze mhindi au mwarabu au mzungu ila si mbantu mwenzao....ngoja tusubiri utasikia tu anapingwa![ Kwa kweli kama kuna mtu atakua na pingamizi sijui watu watamuonaje. kwani kama una uwezo why dont u also do yours?]
 
mmh
 
Back
Top Bottom