Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewahimiza wanachama wa CCM kudumisha umoja kuelekea Uchaguzi Mkuu na kuwakataa viongozi ambao wanawagawa na kuleta mpasuko kwa Wanachama.
Kawaida ameyasema hayo Mei 03, 2025 akihutubia maelfu ya Wakazi wa Wilaya ya Kahama katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Msalala ambapo ameeleza kuwa ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu unategemea umoja wa Wanachama wa CCM.